Hija : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kuhusu hijja
No edit summary
Mstari 12:
* [[Uyahudi]] tangu zamani unatia maanani hasa hija ya kwenda [[Yerusalemu]], iliyokuwa ya [[lazima]] katika [[sikukuu]] mbalimbali kwa waumini kuanzia umri wa ku[[balehe]]; unaendelea hata baada ya [[hekalu]] la mji huo kubomolewa kabisa mwaka [[70]] [[BK]].
* [[Ukristo|Wakristo]] hasa wa [[madhehebu]] ya [[Waorthodoksi|Kiorthodoksi]] na [[Wakatoliki|Katoliki]] wanajua hija kwenda [[Yerusalemu]], [[Roma]] na mahali pengine.
* [[Uislamu|Waislamu]] huwa na [[hajj]] kutembelea [[Makka]], [[Washia]] wanatembela pia ma[[kaburi]] ya ma[[imamu]] wao huko [[Najaf]], [[Karbala]], [[Mashhad]] na penginepo. Mwislamu aliyetimiza safari hii anapokea [[cheo]] cha "[[alhaji]]" kama sehemu ya jina lake.Masharti ya Hijja:
1. Uislamu
Hijja haimlazimu kafiri, na akihiji haisihi hijja yake.
 
==Masharti ya Hijja katika Uislamu==
2. Kuwa na akili
*1. Uislamu. Hijja haimlazimu kafiri, na akihiji haisihi hijja yake.
*2. Kuwa na akili. Hija haimlazimu mwendawazimu, kwa neno lake ﷺ: (Watu watatu hawaandikiwi dhambi: aliyelala mpaka azunduke, mtoto mapaka abaleghe na mwendawazimu mpaka apate akili) [Imepokewa na Abu Daud.].
 
*3. Kubaleghe. Hijja haimlazimu mtoto mdogo, na lau mtoto mdogo atahirimia hija basi hija yake itasihi. Lakini haimtoshelezi na Hijja ya Uislamu, na itahesabiwa ni Sunna. Hii ni kwa hadithi ya Ibnu ‹Abbas t kwamba mwanamke mmoja alimuinulia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ mtoto, na akasema: «Je, huyu ana Hija? Mtume akasema: (Ndio, nawe una thawabu) [Imepokewa na Muslim.].
3. Kubaleghe
Hijja haimlazimu mtoto mdogo, na lau mtoto mdogo atahirimia hija basi hija yake itasihi. Lakini haimtoshelezi na Hijja ya Uislamu, na itahesabiwa ni Sunna. Hii ni kwa hadithi ya Ibnu ‹Abbas t kwamba mwanamke mmoja alimuinulia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ mtoto, na akasema: «Je, huyu ana Hija? Mtume akasema: (Ndio, nawe una thawabu) [Imepokewa na Muslim.].
 
==Jina==
Line 39 ⟶ 36:
==Viungo vya nje==
*[http://www.arcworld.org/projects.asp?projectID=500 Pilgrim numbers, Alliance of Religions and Conservation, ilitazamiwa Mei 2015]
*[https://www.al-feqh.com/sw/hukumu-za-hija-na-umra]
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Usafiri]]
https://www.al-feqh.com/sw/hukumu-za-hija-na-umra