Siwa barafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 67 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q47568 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Iceberg.jpg|thumb|right|Siwa barafu inaweza kuwa na umbo kama hili; asilimia kubwa iko chini ya maji]]
 
'''Siwa barafu''' ([[ing.]] ''iceberg'') ni kipande kikubwa cha [[barafu]] kinachoelea baharini. Siwa barafu inaweza kusukumwa na mikondo ya baharini hadi kufika kwenye maji ya vuguvugu inapoyeyuka; kinyume chake inaweza kusukumwa dhidi ya maganda makubwa ya barafu inapounganika nayo.
 
== Asili ya siwa barafu ==