Ugonjwa wa Parkinson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ugonjwa wa Parkinson ([http://Parkinson's%20disease https://en.wikipedia.org/wiki/Parkinson%27s_disease]) ni ugonjwa wa kibongo ambapo mtu hukosa homoni ya dopa...'
 
No edit summary
Mstari 1:
Ugonjwa wa Parkinson ([http://Parkinson's%20disease https://en.wikipedia.org/wiki/Parkinson%27s_disease's_disease]) ni ugonjwa wa kibongo ambapo mtu hukosa homoni ya dopamini. Hili hufanyika baada ya seli zinazotengeneza dopamini kuharibika. Dalili ya ugonjwa huu wa parkinson ni kutetemeka kwa mikono(hand tremors), pamoja na shida ya kutembea. Huenda pia mtu akawa na shida za kufikiria. Wagonjwa wa Parkinson huwa na huzuni, utomvu wa usingizi pamoja na wasiwasi mwingi. Ugonjwa huu ulipewa hili jina baada ya anayeaminika kuwa mvumbuzi James Parkinson aliyeandika mengi kuhusu wagonjwa wenye ugonjwa huu katika maandishi aliyoyaita 'An Essay on the Shaking Palsy'
 
== Kiini cha Ugonjwa wa Parkinson ==