Ugonjwa wa Parkinson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
== Matitabu ya ugonjwa wa Parkinson ==
Kwa sasa, hamna matitabu ya kutibu ugonjwa huu lakini kuna dawa ambazo wagonjwa hupewa ili kudhibiti dalili za ugonjwa. Matibabu haya ni kama levodopa na sinemet. Dawa hizi hufanya kazi kwa muda fulani tu na baadaye huwa hazifanyi. Ifikapo kipindi hiki, wagonjwa hushauriwa kula vizuri na kufanya mazoezi ambayo husaidia pia kudhibiti ugonjwa.
 
== Vifaa spesheli vya wagonjwa wa Parkinson ==
Kwa sababu ya kutetemeka pamoja na shida ya kutembea, wagonjwa wa Parkinson huwa na vifaa spesheli ambavyo wanatumia kuwawezesha kumudu maisha. Kwa mfano, kuna vijiko spesheli vinavyowasaidia kula chakula hata kama wanatetemeka kwa mikono. Vijiko hivi huenda vikawa na uzito mwingi kuliko vijiko vya kawaida au viwe na teknolojia ya hali ya juu hivi kwamba vinaweza kujua upande ulioko mdomo na kwa hivyo kudhibiti mtetemeko wa mgonjwa hadi atakapokielekeza chakula kwa mdomo([http://hosiped.com/parkinsons-spoon/ smart parkinson spoon]). Kuna vikombe spesheli pia za kusaidia mgonjwa aweze kunywa kinywaji bila ya kumwagika. Vikombe hivi huundwa kwa muundo utakaoweza kumudu mtetemeko wa mgonjwa wa Parkinson.
 
Vifaa vingine ni kama [http://www.parkinson.org/Living-with-Parkinsons/Managing-Parkinsons/Activities-of-Daily-Living/Mobility walkers] au canes (vijiti) vya kumsaidia mgonjwa aweze kutembea bila kuanguka kwa kujishikilia kwa ile walker.
 
[[Jamii:Tiba]]