MS Oasis of the Seas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Meli kubwa duniani hadi MS Oasis of the Seas
No edit summary
Mstari 1:
'''MS Oasis of the Seas''' ni [[meli ya abiria]] kubwa inayomilikiwa na kampuni kwenye [[visiwa vya Bahamas]]. Wakati wa kutengeneywa kwenze mwaka 2010 ilikuwa ni [[meli]] kubwa ya abiria duniani.
 
Meli hii ina uwezo wa kubeba abiria mara tano zaidi ya meli mashuhuri "[[Titanic]]" iliyozama kwenye mwaka 1912 baada ya kugongwa na [[siwa barafu]]. Tofauti na meli za abiria za zamani zilizosafirisha watu kutoka bandari moja kwenda nyingine Oasis of the Sea sawa na meli za abiria za kisasa inafanya hasa kazi ya burudani ikibeba watalii wanaopenda kuona mabandari na visiwa katika nchi za kigeni.