Baba Tabita

Joined 30 Aprili 2006
Kwa herini!
(wikibreak)
(Kwa herini!)
{{wikibreak|back=in November 2018|type=long}}
{{busy}}
{{wikibreak|back=in November 2018|type=long}}
 
{{boxboxtop|Baba Tabita}}
{{user en-4}}
{{user sw-3}}
{{user nl-1}}
{{user fr-1}}
{{user Mkabidhi}}
{{user Bureaucrat}}
{{boxboxbottom}}
 
Niliifanyia kazi wikipedia hiyo kwa miaka kuminambili. Tangu mwezi wa Mei 2018, siwezi kuchangia, bila kujua kama nitaweza kurudi. Kwa herini!
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa '''Baba Tabita''' kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
 
Nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki miaka ya 1996 hadi 2016. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Lugha za Afrika]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].
 
Tarehe 20 Mei 2017 nimefikisha michango [https://tools.wmflabs.org/guc/index.php?user=Baba%20Tabita 60,000].
 
'''Bahati mbaya''', tangu mwezi wa Mei mwaka huu wa 2018, siwezi kuchangia, nadhani hadi mwezi wa Novemba. Naomba mnivumilie. Asanteni!
 
[[de:Benutzer:Baba Tabita]]
62,394

edits