Ugonjwa wa Parkinson : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Ugonjwa wa parkinson hadi Ugonjwa wa Parkinson: usahihi wa jina
No edit summary
Mstari 1:
'''Ugonjwa wa Parkinson''' ([http://Parkinson's%20disease Parkinson's_disease]) ni [[ugonjwa]] wa kibongo ambapo mtu hukosa [[homoni]] ya [[dopamini]]. Hili hufanyika baada ya [[seli]] zinazotengeneza dopamini kuharibika. Dalili ya ugonjwa huu wa parkinson ni kutetemeka kwa mikono(hand tremors), pamoja na shida ya kutembea. Huenda pia mtu akawa na shida za kufikiria. Wagonjwa wa Parkinson huwa na huzuni, utomvu wa usingizi pamoja na wasiwasi mwingi. Ugonjwa huu ulipewa hili jina baada ya anayeaminika kuwa mvumbuzi James Parkinson aliyeandika mengi kuhusu wagonjwa wenye ugonjwa huu katika maandishi aliyoyaita 'An Essay on the Shaking Palsy'
 
[[Dalili]] ya ugonjwa huu ni kutetemeka kwa [[mikono]] (hand tremors), pamoja na shida ya kutembea. Huenda pia [[mtu]] akawa na shida za kufikiria. Wagonjwa wa Parkinson huwa na [[huzuni]], [[utovu wa usingizi]] pamoja na [[wasiwasi]] mwingi.
== Kiini cha Ugonjwa wa Parkinson ==
Haijulikani haswa kiini cha ugonjwa huu kutokea lakini yakisiwa kwamba hurithiwa kutoka kwa kizazi hadi kingine. Sababu za kimazingira huweza pia kuchangia ugonjwa huu kwa mfano yasemekana kwamba wanaofanya kazi za kupuliza kemikali kwa mimea huenda wakaupata kwa urahisi. Wanaume huwa kwa hatari kubwa kuupata ugonjwa huu kuliko wanawake.
 
Ugonjwa huu ulipewa hili [[jina]] baada ya anayeaminika kuwa [[mvumbuzi]] [[James Parkinson]] aliyeandika mengi kuhusu wagonjwa wenye ugonjwa huu katika [[maandishi]] aliyoyaita 'An Essay on the Shaking Palsy'.
== Matitabu ya ugonjwa wa Parkinson ==
Kwa sasa, hamna matitabu ya kutibu ugonjwa huu lakini kuna dawa ambazo wagonjwa hupewa ili kudhibiti dalili za ugonjwa. Matibabu haya ni kama levodopa na sinemet. Dawa hizi hufanya kazi kwa muda fulani tu na baadaye huwa hazifanyi. Ifikapo kipindi hiki, wagonjwa hushauriwa kula vizuri na kufanya mazoezi ambayo husaidia pia kudhibiti ugonjwa.
 
== VifaaKiini speshelicha vya wagonjwaugonjwa wa Parkinson ==
Haijulikani haswa kiini cha ugonjwa huu kutokea lakini yakisiwa kwamba hurithiwa kutoka kwa [[kizazi]] hadi kingine. Sababu za kimazingira huweza pia kuchangia ugonjwa huu; kwa mfano yasemekana kwamba wanaofanya kazi za kupuliza [[kemikali]] kwa [[mimea]] huenda wakaupata kwa urahisi. [[Wanaume]] huwa kwa hatari kubwa kuupata ugonjwa huu kuliko [[wanawake]].
Kwa sababu ya kutetemeka pamoja na shida ya kutembea, wagonjwa wa Parkinson huwa na vifaa spesheli ambavyo wanatumia kuwawezesha kumudu maisha. Kwa mfano, kuna vijiko spesheli vinavyowasaidia kula chakula hata kama wanatetemeka kwa mikono. Vijiko hivi huenda vikawa na uzito mwingi kuliko vijiko vya kawaida au viwe na teknolojia ya hali ya juu hivi kwamba vinaweza kujua upande ulioko mdomo na kwa hivyo kudhibiti mtetemeko wa mgonjwa hadi atakapokielekeza chakula kwa mdomo([http://hosiped.com/parkinsons-spoon/ smart parkinson spoon]). Kuna vikombe spesheli pia za kusaidia mgonjwa aweze kunywa kinywaji bila ya kumwagika. Vikombe hivi huundwa kwa muundo utakaoweza kumudu mtetemeko wa mgonjwa wa Parkinson.
 
== KiiniMatibabu chaya Ugonjwaugonjwa wa Parkinson ==
Vifaa vingine ni kama [http://www.parkinson.org/Living-with-Parkinsons/Managing-Parkinsons/Activities-of-Daily-Living/Mobility walkers] au canes (vijiti) vya kumsaidia mgonjwa aweze kutembea bila kuanguka kwa kujishikilia kwa ile walker.
Kwa sasa, hamna [[matitabu]] ya kutibu ugonjwa huu lakini kuna [[dawa]] ambazo wagonjwa hupewa ili kudhibiti dalili za ugonjwa. Matibabu haya ni kama levodopa na sinemet. Dawa hizi hufanya kazi kwa muda fulani tu na baadaye huwa hazifanyi. Ifikapo kipindi hiki, wagonjwa hushauriwa kula vizuri na kufanya [[Mazoezi ya mwili|mazoezi]] ambayo husaidia pia kudhibiti ugonjwa.
 
== WatuVifaa Mashuhurimaalumu waliokuwavya na ugonjwawagonjwa wa Parkinson ==
Kwa sababu ya kutetemeka pamoja na shida ya kutembea, wagonjwa wa Parkinson huwa na vifaa speshelimaalumu ambavyo wanatumia kuwawezesha kumudu [[maisha]]. Kwa mfano, kuna vijiko spesheli vinavyowasaidia kula [[chakula]] hata kama wanatetemeka kwa mikono. Vijiko hivi huenda vikawa na [[uzito]] mwingi kuliko vijiko vya kawaida au viwe na [[teknolojia]] ya hali ya juu hivi kwamba vinaweza kujua upande ulioko [[mdomo]] na kwa hivyo kudhibiti mtetemeko wa mgonjwa hadi atakapokielekeza chakula kwa mdomo ([http://hosiped.com/parkinsons-spoon/ smart parkinson spoon]). Kuna vikombe spesheli pia za kusaidia mgonjwa aweze kunywa [[kinywaji]] bila ya kumwagika. Vikombe hivi huundwa kwa muundo utakaoweza kumudu mtetemeko wa mgonjwa wa Parkinson.
[[:en:Muhammad_Ali|Muhammad Ali]]
 
Vifaa vingine ni vijiti vya kumsaidia mgonjwa aweze kutembea bila kuanguka kwa kujishikilia kwa ile walker<ref>[http://www.parkinson.org/Living-with-Parkinsons/Managing-Parkinsons/Activities-of-Daily-Living/Mobility walkers]</ref>.
[[:en:Janet_Reno|Janet Reno]] (Attorney General USA)
 
== MatitabuWatu yamashuhuri waliokuwa na ugonjwa wa Parkinson ==
[[Jamii:Tiba]]
*[[:en:Muhammad_Ali|Muhammad Ali]]
*[[:en:Janet_Reno|Janet Reno]] (Attorney General USA)
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-tiba}}
[[Jamii:TibaMagonjwa]]