Mboo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 26:
== Mabadiliko ya viungo vya uzazi ==
[[Uume]] ([[mboo]]) wa [[mvulana]] unakua, lakini kwa kiasi tofauti kati ya mtu na mtu. Ni muhimu kila mmoja ajipokee alivyo hata katika kiungo hicho, bila ya kuhangaika wala kuona [[aibu]] kwa sababu, eti ni kidogo. Hata hivyo uume unaweza kukarabatiwa ili kuzidisha [[urefu]] au [[upana]] kwa jianjia toafauti tofautitofautitofauti ikiwemo kufanyiwa operesheni, pampu za kuvuta<ref>{{Cite web|url=https://www.penetric.com/penis-pumps/|title=Do Penis Pumps Really Work? (Aug 2018) {{!}} 5 Best Penis Enlargement Pump|author=|date=2016-07-11|language=en-US|work=Penetric|accessdate=2018-09-03}}</ref>, kundungwa sindano<ref>{{Cite web|url=https://www.laserpenoplasty.com/others/index.php?title=glans-filler|title=Penoplasty, Glans Augmentation Using Fillers (Non- Surgical Augmentation of the Glans)|author=Alessandro, Littara|work=www.laserpenoplasty.com|accessdate=2018-09-03}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.smallpenisenlargement.net/glans-enhancement-penis-head-augmentation/|title=Glans Enhancement – Penis Head Augmentation {{!}} Small Penis Enlargement 2018|date=2018-09-01|language=en-US|work=www.smallpenisenlargement.net|accessdate=2018-09-03}}</ref> na hata kutumia dawa za kumeza kama tembe au kupaka,<ref>{{Cite web|url=https://www.healthline.com/health/mens-health/oil-for-penis-enlargement|title=Is There Really an Oil or Herb for Penis Enlargement?|author=Tim Jewell|date=2018-04-02|editor=Debra Rose Wilson|language=en|work=Health Line|accessdate=2018-09-03}}</ref> ingawa ukarabati huu umeibua hisia tofauti.
 
Kusimika kwa uume si jambo jipya kwa kuwa [[utotoni]] limeshatokea kawaida kutokana na [[kibofu]] kujaa [[mkojo]]. Ila sasa linaweza kutokea kwa sababu mpya, yaani [[jinsia]].
Mstari 32:
Kusimika kunajitokeza na kupotea haraka kutegemeana na hali iliyopo. Hali hiyo inaweza kutokea bila ya mtu kutaka, kwa mfano [[usiku]] au pia [[mchana]] kati ya watu ikimfanya aone [[haya]].
 
Kukosa kusimukakusimika inawezakunaweza kuwa ishara ya [[ukosefu wa nguvu za kiume]]. Hali hii inaweza kusababishwa na mambo mengi ikiwemo [[maradhi]], majeraha, utumizi wa [[dawa za kulevya]], wingi wa [[mafuta]] mwilini, [[shinikizo la damu]], [[tiba]] ya magonjwa kama virevile [[saratani]] ya [[tezi]] [[kibofu]] na mengine mengi.<ref>{{Cite web|url=https://www.mayoclinic.org/diseases-conditions/erectile-dysfunction/symptoms-causes/syc-20355776|title=Erectile dysfunction - Symptoms and causes|author=Mayo Clinic|date=|language=en-US|work=Mayo Clinic|publisher=Mayo Foundation for Medical Education and Research (MFMER)|accessdate=2018-09-26}}</ref> Ukosefu wa nguvu za kiume unaweza tibiwakutibiwa kwa jianjia tofauti kama vile kwa kutumia dawa mbalimbali za kuongeza nguvu za kiume.<ref>{{Citation|last=Fletcher|first=Jenna|title=Natural remedies for treating erectile dysfunction|date=2017-03-10|url=https://www.medicalnewstoday.com/articles/316291.php|work=Medical News Today|volume=|pages=|publisher=Healthline Media UK Ltd|language=en|access-date=2018-09-26}}</ref><ref>{{Citation|title=Erectile Dysfunction: Treatment & Care|url=https://www.webmd.com/erectile-dysfunction/guide/erectile-dysfunction-treatment-care|work=WebMD|language=en-US|access-date=2018-09-26}}</ref><ref>{{Cite Web|url=http://www.apcalis-sx.net/generic-tadalafil-review.html|title=Generic Tadalafil – Effective Solution for Several Male Health Problems|author=Anon|date=|language=en - US|work=Apcalis SX|accessdate=2018-09-26}}</ref>
 
Upande wa [[maadili]] pengine tunahimizwa tusisababishe hali hiyoya kusimika bila ya lengo jema, kama vile kumtibu [[mgonjwa]], kutoa [[ushauri nasaha]] au kujielimisha kuhusu [[jinsia]]. Kwa hiyo tukwepe kwa kawaida yale yote yanayoweza kusisimua, kama vile mawazo, maneno, masomo, mitazamo na vitendo mbalimbali kuhusu jinsia. Mvulana anahitaji kujifunza [[nidhamu]] ya namna hiyo.
 
Mashauri mengine ni kutovaa [[kaptura]] wala [[suruali]] zinazobana, na kuficha kwa [[adabu]] hali hiyo ikitokea, lakini bila ya kuiogopa wala kudhani ni [[dhambi]].
Mstari 49:
 
Kumbe akijiingiza mapema katika masuala ya [[ngono]], anahatarisha [[heshima]] yake pamoja na afya, kwa kuambukizwa maradhi yanayoweza yakasababisha [[utasa]] au kwa kuzaa kwa shida kabla ya wakati wa kufaa.
 
 
== Tanbihi ==