Tofauti kati ya marekesbisho "Pango"

61 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
 
== Kukodi ofisi za kazi ==
Watu wamekuwa wakikodi [[ofisi]] za kufanyia kazi kwa muda mrefu haswa katika miji ambapo wataweza kuwasiliana na [[wateja]] wao kwa urahisi. Hivi leo, kumekuwa na ofisi za kukodisha ambapo mpangaji hupata kuwa kila [[kitu]] kama [[samani]], [[mtandao]], [[simu]], ukarabati wafanywa kwa ofisi yake. Anapohitajika ni kulipa tu kodi na aanze kufanya kazi kwa ile ofisi. Hatahitaji kununua [[fenicha]], kuweka [[waya|nyaya]] za [[umeme]] au za simu katika ofisi ile. Pia [[usafi]] wafanywa na mwenye nyumba. Pengine wapangaji ofisi hawataki kuchoka wakishinda wakipamba ofisi zao. Wataka wewe uwafanyie yote hayo. Mfano wa hii ni [https://www.officesaigon.vn/ Office Saigon]
 
== Mtandao na kodi ==
199

edits