Tofauti kati ya marekesbisho "Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa"

no edit summary
No edit summary
==[[Mauzo dijitali]]==
Hongera kwa kuboresha makala hadi hapa. Lakini bado vyanzo. Ukihitaji msaada, uliza. Ona kwanza viungo vilivyotajwa katika boksi ya "Makala haina vyanzo vya kutosha" niliyoweka pale (baada ya kurejibisha itafutwa tena). Nadhani unaweza kuchukua marejeo kutoka enwiki, nisipokosei '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 09:26, 22 Septemba 2018 (UTC)
 
==Tovuti za biashara==
Naona karibu kila mwaka unaweza viungo vya tovuti za biashara, kitu ambacho hakitakiwi. Kwa kweli mara nyingine nashawishika kufikiri kwamba lengo lako ni kuwafanya wasomaji wetu wanunue kitu. Wikipedia si mahali pa mauzo dijitali! Amani kwako. --'''[[Mtumiaji:Riccardo Riccioni|Riccardo Riccioni]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Riccardo Riccioni|majadiliano]])''' 08:53, 28 Septemba 2018 (UTC)