Bodi ya saketi iliyochapishwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Splatine.jpg|350px|thumb|Bodi ya saketi yenye mashimo na vifaa, pande zote mbili]]
[[Picha:Bestueckungsdruck.jpg|350px|thumb|Bodi ya saketi iliyochapishwa, bila vifaa]]
'''Bodi ya saketi iliyochapishwa''' (kwa [[Kiingereza]]: ''[[:en:Printed circuit board]] - PCB''; pia inajulikana kama '''ubao wa nyaya zilizochapishwa''' ama ''Printed wiring board (PWB)'') ni bodi inayotumika kwa kuunganisha vifaa vya kielektroniki kama vile [[transista]] na vingine. Pia inajulikana kama ubao wa waya zilizochapishwa ama "Printed wiring board (PWB)".
 
Bodi hizi kwa kawaida ni bapa la [[plastiki]] au [[karatasi]] imara au [[mata]] nyingininyingine isiyopitisha [[umeme]]. Juu yake kuna njia nyembamba za kupitishakupitishia umeme zinazochapishwa.
 
Baadaye transista na vifaa vingine vinawekwa kwenye nafasi zilizoandaliwa na kufungwa kwa njia ya kulehemu (soldering). Zamani bodi ilikuwa na mashimo kwa kuweka vifaa, siku hizi teknolojia hii inatumiwa kwa vifaa vikubwa tu au kama ni bodi chache tu zinazotengenezwa. Siku hizi vifaa vinafungwa juu ya bodi tu na hii inapunguza ukubwa kwa bodi. Kazi hii inatekelezwa kwa jumla hasa kwa mashine maana vifaa vimekuwa vidogo mno.
Mstari 12:
 
==Historia==
Mvumbuzi wa Bodi za saketi zilizochapisha, aliejulikanaaliyejulikana kwa jina la [[Paul Eisler]] ([[1907]]-[[1995]]) aliyekuwa [[raia]] wa [[Austria]], pindi alipokuwa akifanya kazi nchini [[Uingereza]], alipoifanya moja ya circa 1936 kama sehemu ya [[redio]].

Mnamo miaka yamwaka [[1943]] [[Marekani]] ilianza kutumia [[teknolojia]] ya juu kwa kiasi kikubwa kuzalisha redio zilizotumika katkakatika [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Baada ya [[vita, kunako miaka ya 1948,]] teknolojia hiyo ilitolewa kwa ajili ya matumizi ya kibiashara katikati ya [[miaka ya 1950]], baada ya mchakato Jotoridi Sembly ilitengenezwa na [[Jeshi la Marekani]].
 
==Utengenezaji==
Bodi iliyochapishwa ni kiunganishi kikubwa baina ya sakitisaketi moja na nyingine kwa muunganiko wa wirenyaya zinazosambaza umeme au taarifa za electronikielektroniki. Bodi hii ni muhimu sana na hutengenezwa kwa wingi na viwanda ila hivi sasa utengenezwaji wake umerahisishwa na kufanya upatikanaji wake kuwa rahisi zaidi<ref>http://www.qsl.net/klp/projects/PCBFab/NHRCPCB.jpg</ref>.
[[Image| http://www.qsl.net/klp/projects/PCBFab/NHRCPCB.jpg]]
Bodi iliyochapishwa ni kiunganishi kikubwa baina ya sakiti moja na nyingine kwa muunganiko wa wire zinazosambaza umeme au taarifa za electroniki. Bodi hii ni muhimu sana na hutengenezwa kwa wingi na viwanda ila hivi sasa utengenezwaji wake umerahisishwa na kufanya upatikanaji wake kuwa rahisi zaidi.
 
===Mahitaji===
[[Programu]] maalummaalumu ya kutengeneza muonekano wa sakitisaketi yako ikiwa imekamilika kwa muonekano wa picha kabla ya kutengenezwa. Pia utahitaji [[pasi ya umeme ya kawaida]] inayotumika kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani. [[Mashine]] ya kuchapisha nakala kutoka kwenye [[kompyuta ama]] ([[Printa]]), machinemashine ya kutobolea bodi, [[bakuli]] la [[maji]], katasikaratasi maalummaalumu itakayotumika kuhamisha [[mchoro]] na mwisho kabisa bodi itakayotumika kutengezea mchoro.
 
===Hatua za kutengeneza===