Kristoffer Nordfeldt : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kristoffer Nordfeldt''' (alizaliwa Juni 23, 1989) ni mchezaji wa soka wa Sweden ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Swansea City na timu ya tai...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kristoffer Nordfeldt''' (alizaliwa Juni [[23, Juni]] [[1989]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Sweden]] ambaye anacheza kama [[kipa]] wa [[klabu]] ya [[Swansea City]] na [[timu ya taifa]] ya [[Sweden]].
 
== Kazi ya klabu ==
===Brommapojkarna===
Nordfeldt alianza kazi yake katika [[timu]] ya [[Brommapojkarna]]. Alipandishwa kwa timu ya kwanza kwa msimu wa 2006, wakati timu ilicheza huko [[Superettan]]. Nordfeldt hakuweza kucheza mechi yoyote ya ligi mwaka huo, au mwaka uliofuata wakati timu ilicheza kwa mara ya kwanza huko [[Allsvenskan]].
 
{{mbegu-cheza-mpira}}
[[Jamii:watuWaliozaliwa nwalio hai1989]]
[[Jamii:watu walio hai]]
[[Jamii:Wachezaji mpira wa Sweden]]