Michael Wamalwa Kijana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:
 
==Maisha ya kisiasa==
Sambamba na [[Tom Mboya]], [[Ronald Ngala]] na [[PLO Lumumba]], alikuwa na kipawa cha unenaji.
 
Alijitolea utajiri wake kuwasaidia maskini na wahitaji kwa kulipia karo za shule na kusaidia katika kuinua ubora wa maisha ya maskini. Alianzisha shirika la usaidizi la Touch Afrika kwa msingi na lengo la kuwawezesha vijana na masikini ili kutimiza ndoto zao.