Kaunti ya Kiambu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
Mstari 42:
 
== Jiografia ==
Kaunti hii imepakana na kaunti za [[Kaunti ya Nairobi |Nairobi]] (kusini), [[Kaunti ya Machakos|Machakos]] (mashariki), [[Kaunti ya Nakuru|Nakuru]] (magharibi), [[Kaunti ya Nyandarua|Nyandarua]] (kaskazini magharibi) na [[Kaunti ya Murang'a|Murang'a]] (kaskazini).
 
[[Topografia]] ya kaunti ina [[Uwanda wa juu|nyanda za juu]] na [[Uwanda wa kati|nyanda za kati]].
#Nyanda za juu kabisa zinapatikana katika kata ndogo ya Lari, ambazo ni kuenea kwa [[Milima Aberdare|Safu za Nyandarua]]. Sehemu hiyo huwa na vilima vikali na ni chanzo cha maji.
#Nyanda za juu wastani ziko katika Limuru na sehemu za Gatundu Kusini, Gatundu Kaskazini, Githunguri na Kabete. Sehemu hizo zina vilima na tambarare zilizoinuka.
#Nyanda za kati hupatikana katika Juja, Thika na Ruiru. Sehemu hizo huwa kavu kidogo kuliko sehemu zingine za kaunti<ref name=":0">{{cite web|url=http://www.kiambu.go.ke/images/docs/other/2013201720150303-KIAMBU-CIDP.pdf|accessdate=2018-05-02|title=COUNTY INTEGRATED DEVELOPMENT PLAN 2013 – 2017}}</ref>.
 
Kaunti ina vyanzo kadhaa vya maji.
Kaunti ina vyanzo kadhaa vya maji. [[Chanzo cha maji]] cha Nairobi ni chanzo cha [[Mto Nairobi]], [[Mto Gitaru]], [[Mto Gitahuru]], [[Mto Karura]], [[Mto Ruirwaka]], and [[Mto Gatharaini]]. Chanzo kingine ni chanzo cha [[Mto Kamiti]] na [[Mto Ruiru]] ambacho huwa na [[Mto Riara]], [[Mto Kiu]], [[Mto Makuyu]], [[Mto Bathi]], [[Mto Gatamaiyu]] and [[Mto Komothai]]. Chanzo cha maji cha tambarare za Aberdare ni chanzo cha [[Mto Thiririka]] na [[Mto Ndarugu]]. Chanzo cha nne ni chanzo cha [[Mto Chania (Thika)|Mto Chania]] na matawimto yake: [[Mto Thika]] na [[Mto Kariminu]], inayotoka [[Mlima Kinangop]]. Mito hii ni [[Tawimto|matawimto]] ya [[Mto Athi]].<ref name=":0" />
*[[Chanzo cha maji]] cha Nairobi ni chanzo cha [[Mto Nairobi]], [[Mto Gitaru]], [[Mto Gitahuru]], [[Mto Karura]], [[Mto Ruirwaka]], and [[Mto Gatharaini]].
*Chanzo kingine ni chanzo cha [[Mto Kamiti]] na [[Mto Ruiru]] ambacho huwa na [[Mto Riara]], [[Mto Kiu]], [[Mto Makuyu]], [[Mto Bathi]], [[Mto Gatamaiyu]] and [[Mto Komothai]].
*Chanzo cha maji cha tambarare za Aberdare ni chanzo cha [[Mto Thiririka]] na [[Mto Ndarugu]].
*Chanzo cha nne ni chanzo cha [[Mto Chania (Thika)|Mto Chania]] na matawimto yake: [[Mto Thika]] na [[Mto Kariminu]], inayotoka [[Mlima Kinangop]]. Mito hii ni [[Tawimto|matawimto]] ya [[Mto Athi]].<ref name=":0" />
 
Kiambu hupata [[Msimu|misimu]] miwili ya mvua: Machi hadi Mei na Septemba hadi Disemba. Miezi kati ya Juni hadi Agosti huwa msimu wa baridi kali. [[Halijoto]] hutegemea na eneo. Maeneo ya nyanda za juu hupata baridi zaidi. Kata ndogo za Lari na Limuru na sehemu za magharibi za Gatundu Kusini, Gatundu Kaskazini na Githunguri hupata [[ukungu]] mzito na baridi ifikayo 7°[[Selsiasi|c]]<ref name=":0" />.
 
==Serikali na Utawala==