Hugo Weaving : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
'''Hugo Wallace Weaving''' (amezaliwa tar. 4 Aprili, 1960, Nigeria) ni mwigizaji filamu wa Kiingereza....
 
Mstari 18:
}}
'''Hugo Wallace Weaving''' (amezaliwa tar. [[4 Aprili]], [[1960]], [[Nigeria]]) ni mwigizaji filamu wa [[Uingereza|Kiingereza]], vilevile mwigizaji wa sauti yaani kama kuigiza sauti ya katuni au sauti za kirobot.
==Wasifu===
 
===Maisha ya awali==
Weaving alizaliwa nchini [[Nigeria]] na wazazi wa [[Uingereza|Kiingereza]] Anne, aliyekuwa mwongozaji watalii, na Wallace Weaving, mwanaseismolojia ([[Tsunami|mstadi wa maafa asilia ya dunia]]). Hugo utoto wake wote aliutumia akiwa nchini [[Afrika Kusini]] na baadae familia ikarudi [[Uingereza]], wakati Hugo bado yungali bwana mdogo. Akiwa [[Uingereza]] akapelekwa shule ya bweni na ilipofika mwaka [[1976]] akaelekea [[Sydney]] nchini [[Australia]], akiwa huko akajiunga na shule moja hivi iliokuwa inashundisha maswala ya lugha. Shule ilikuwa naongozwa na muunganiko wa baadhi ya makanisa. Baada ya hapo akajiunga tena na taasisi ya sanaa na maigizo (National Institute of Dramatic Art) ya nchini [[Australia]] na kumaliza mnamo mwaka wa [[1981]].