Hugo Weaving : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 21:
===Maisha ya awali===
Weaving alizaliwa nchini [[Nigeria]] na wazazi wa [[Uingereza|Kiingereza]] Anne, aliyekuwa mwongozaji wa watalii, na Wallace Weaving, mwanaseismolojia ([[Tsunami|mstadi wa maafa asilia ya dunia]]). Hugo utoto wake wote aliutumia akiwa nchini [[Afrika Kusini]] na baadae familia ikarudi [[Uingereza]], wakati Hugo bado yungali bwana mdogo. Akiwa [[Uingereza]] akapelekwa shule ya bweni na ilipofika mwaka [[1976]] akaelekea [[Sydney]] nchini [[Australia]], akiwa huko akajiunga na shule moja hivi iliokuwa
==Filamu alizoigiza==
|