Kimbunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Fixed type
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Hurricane Katrina August 28 2005 NASA.jpg|thumb|right|Kimbunga ya "Katrina" juu ya Ghuba ya Meksiko - picha kutoka [[chombo cha angani]] tar. 28 Agosti 2005]]
[[Picha:Animated hurricane.gif|frame|right|Picha ya [[rada]] ya kimbunga upande wa kaskazini ya [[ikweta]] inaonyesha mwendo wake]]
'''Kimbunga''' ni [[dhoruba]] kali inayoanza juu ya [[bahari]] katika maeneo ya [[tropiki]] yenye [[upepo]] mwenye [[kasi]] ya zaidi ya 117 [[km/saa]] 117. Kimbunga ni dhoruba aina ya [[tufani]].
 
Inaanza juu ya [[bahari]] ya [[tropiki|kitropiki]] penye [[maji]] yenye [[halijoto]] juu ya 26 [[°C]]. Hewa joto yenye [[mvuke]] nyingi inaanza kupanda juu na kuzunguka. Mzunguko huo unaongezeka kasi kuwa dhoruba. Kasi ikifikia mwendo wa 117 km/saa inaitwa kimbunga.
'''Kimbunga''' ni [[dhoruba]] kali inayoanza juu ya [[bahari]] katika maeneo ya [[tropiki]] yenye [[upepo]] mwenye kasi ya zaidi ya 117 [[km/saa]]. Kimbunga ni dhoruba aina ya [[tufani]].
 
InaanzaVimbunga juuvinatokea yakatika [[bahari]] ya kitropikizote penye maji yenye halijoto juu ya 26[[moto]] [[°Ckaskazini]]. Hewana joto[[kusini]] yenyekwa [[mvukeikweta]]. nyingiMzunguko inaanzahufuata kupandamwendo juuwa na[[saa]] kuzunguka.kama Mzungukokimbunga huokinatokea unaongezekakusini kasikwa kuwa[[ikweta]]; dhoruba.ni Kasikinyume ikifikiacha mwendo wa 117 km/saa inaitwakama kimbungakinatokea kaskazini kwa ikweta.
 
Kila sehemu ya [[dunia]] kimbunga kina [[jina]] lake na majina haya yameanza kutumiwa kimataifa:
Vimbunga vinatokea katika [[bahari]] zote penye maji ya moto kaskazini na kusini ya [[ikweta]]. Mzunguko hufuata mwendo wa saa kama kimbunga kinatokea kusini ya [[ikweta]]; ni kinyume cha mwendo wa saa kama kinatokea kaskazini ya ikweta.
 
Kila sehemu ya dunia kimbunga kina jina lake na majina haya yameanza kutumiwa kimataifa:
* Katika eneo la [[Atlantiki]] ([[Karibi]] hasa) kimbunga huitwa hurikan ([[kiing.]] [[:en:hurricane|Hurricane]])
* katika eno la [[Pasifiki]] kaskazini kimbunga huitwa taifuni ([[:en:typhoon]])
Line 19 ⟶ 18:
Hatari zake ni hasa kasi ya [[upepo]] pamoja na kiasi kikubwa cha [[mvua]]. Kasi ya upepo inaweza kuinua vitu vizito kama miti, paa za nyumba au magari na kuvirusha mbali. Watu huuawa na mali kuharibiwa. Uwingi wa mvua husababisha mifuriko.
 
== Majina ya Vimbunga ==
Vimbunga hutokea mara kwa mara katika kipindi cha joto. Wataalamu wameanza kuvipa majina kwa kurahisisha maelewano. Katika eneo la kila bahari kuna utaratibu wa pekee wa kutolea majina kwa vimbunga kufuatana na mapatano ya wanasayansi.
Line 28 ⟶ 26:
 
Kimbunga ya "[[Katrina (kimbunga)|Katrina]]" kilichoharibu mji wa [[New Orleans]] katika Agosti 2005 kilikuwa kimbunga cha 11 cha mwaka [[2005]]. Kilifuata kimbunga "Jose" na kufuatwa na "Lee" halafu "Maria". Kama kimbunga inasababisha uharibifu mkubwa sana jina lake huondolewa katika orodha maana yake jina hili halitarudia. "Katrina" imebadilishwa kuwa "Katia" katika orodha ya mwaka itakayotumika mwaka 2011 (ikitokea itakuwa kimbunga kinachofuata "Jose" ya 2011)
{{mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Maafa asilia]]
[[Jamii:Metorolojia]]