Edward Elgar : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Edward Elgar.jpg|thumb|right|300px|Picha ya ya Mh. Edward Elgar.]]
'''Sir Edward William Elgar''' ([[2 Juni]] [[1857]] - [[23 Februari]] [[1934]]) alikuwa [[mtunzi]] maarufu wa [[Opera]] kutoka nchini [[Uingereza]].
 
==Maisha==
'''Sir Edward William Elgar''' ([[2 Juni]] [[1857]] - [[23 Februari]] [[1934]]) alikuwa mtunzi maarufu wa [[Opera]] kutoka nchini [[Uingereza]].
[[Baba]] wa Elgar alikuwa akimiliki [[duka]] la kuuza vyombo vya [[muziki]].
 
Baba wa Elgar alikuwa akimiliki duka la kuuza vyombo vya muziki. Mbali na kusomea mambo ya kupiga [[zeze]] (la [[Mzungu|kizungu]], yaani "violin"), Elgar pia alijifunza mwenyewe namna ya kufanya muziki. Pia alijifunza namna ya kuchapisha-kuandika muziki katika duka la babakebaba yake na mara nyingi walikuwa wakisafiri wote katika safari za mzee wakepamoja alipokuwa akienda kuseti [[Kinanda|vinanda]] kwa [[mteja|wateja]] walionunua.
 
[[Mwaka]] wa [[1904]] alipewa [[cheo]] cha "Sir" cha [[Uingereza]].

Mwaka wa [[1924]] alitangazwa kuwa ''Mkuu wa Muziki yawa Mfalme'' ("Master of the King's MusickMusic").
 
== Viungo vya nje ==
Line 34 ⟶ 38:
 
{{DEFAULTSORT:Elgar, Edward}}
[[Jamii:WatunziWaliozaliwa wa Uingereza1857]]
[[Jamii:Waliofariki 1934]]
[[Jamii:Wanamuziki wa Uingereza]]
[[Jamii:Watunzi wa Romantik]]
[[Jamii:Watu waliopewa cheo cha "Sir"]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1857]]
[[Jamii:Waliofariki 1934]]