Baba Tabita

Joined 30 Aprili 2006
template ya mkabidhi tu....
No edit summary
(template ya mkabidhi tu....)
{{user nl-1}}
{{user fr-1}}
{{user Mkabidhi}}
{{boxboxbottom}}
Naitwa Oliver Stegen, nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabila ya Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].