Uchoraji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Mona Lisa, by Leonardo da Vinci, from C2RMF retouched.jpg|thumb|''[[Mona Lisa]]'', [[mchoro]] wa [[Leonardo da Vinci]], ambaye ni mmoja wa wachoraji maarufu zaidi duniani.]]
'''Uchoraji''' ni [[sanaa]] ya kuweka [[alama]] kwa kutumia vifaa mbalimbali vya kuchorea, kama vile [[kalamu]] ya [[wino]] au ya [[risasi]], [[brashiburashi]], [[penseli za rangi]] ya wax, crayoni, makaa, choko, pastels, aina mbalimbali za erasers, markers, styluses, [[metali]] mbalimbali (kama silverpoint) na siku hizi hata [[elektroniki]] au kitu kingine cha kuandikia au kupaka [[rangi]] katika [[karatasi]], [[kitambaa]], [[ubao]], [[metali]], [[mwamba]], kadi, plastiki, ngozi, canvas, na bodi au penginepo.
 
Michoro ya muda mfupi inaweza kufanywa katika ubao mweusi au mweupe.