Ramani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:London Underground Zone 2.png|thumbnail||Ramani ya muundo wa usafiri wa [[reli]] ndani ya mji wa [[London]], [[Uingereza]]]]
 
'''Ramani''' ni [[picha]] - kwa kawaida [[mchoro]] - ya [[dunia]] au sehemu au sifa zake.
 
Ni tofauti na picha iliyopigwa kwa [[kamera]] kutoka [[ndege]] au [[chombo cha angani]] kwa sababu mchora ramani anachagua anachotaka kuonyesha na kuzipa [[uzito]] sifa anazotaka kuziwekea mkazo.
Mstari 14:
* ramani inaweza kufuata mahitaji ya [[msomaji]] (ramani ya njia ya [[reli]] huonyesha mstari tu na mfuatano wa vituo bila kutaja [[kona]] na mabadiliko ya [[mwelekeo]])
 
Kila [[mchoraramani]] anahitaji kuchagua jinsi ya kuonyesha mambo yake. Kwa ramani za kijiografia tatizo hutokana na [[umbo]] la dunia ambayoambalo ni [[tufe]] wakati ramani kwa kawaida ni [[karatasi]] [[bapa]].
 
==Viungo vya nje==
* [http://www.icaci.org/ International Cartographic Association (ICA)]
* [https://www.loc.gov/rr/geogmap/guide/gmilltoc.html Mwongozo wa Jiografia na Ramani].
* [http://www.geography.wisc.edu/histcart/ The History of Cartography Project]
* [http://mappinghistory.uoregon.edu/ Mapping History Project] - [[Chuo Kikuu cha Oregon]]
 
{{commonscat|Maps|Ramani}}