Alexander von Humboldt : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|pt}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AvHumboldt.jpg|thumb|250px|Alexander von Humboldt alivyochorwa na [[Joseph Karl Stieler|Joseph Stieler]] 1843]]
'''Friedrich Wilhelm Heinrich Alexander Freiherr von Humboldt''' ([[14 Septemba]] [[1769]] – [[6 Mei]] [[1859]]) alikuwa [[mpelelezi]] na [[mwanasayansi]] kutoka [[Prussia]] katika [[Ujerumani]]. Kaka yake alikuwa waziri wa elimu wa Prussia na mtaalamu wa lugha.
 
Alexander alifanya [[utafiti]] [[muhimu]] katika [[jiografia]] na [[biolojia]].
'''Friedrich Wilhelm Heinrich Alexander Freiherr von Humboldt''' ([[14 Septemba]] [[1769]] – [[6 Mei]] [[1859]]) alikuwa mpelelezi na mwanasayansi kutoka [[Prussia]] katika [[Ujerumani]]. Kaka yake alikuwa waziri wa elimu wa Prussia na mtaalamu wa lugha.
 
==Maisha==
Alexander alifanya utafiti muhimu katika [[jiografia]] na [[biolojia]].
Humboldt alizaliwa mjini [[Berlin]].
 
Humboldt alizaliwa mjini [[BerlinBaba]]. Babakeyake Alexander Georg von Humboldt alikuwa [[mwanajeshi]] wa Prussia. Akiwa mtoto Alexander alipenda kukusanya mimea, konokono na wadudu.
 
[[Kaka]] yake alikuwa [[waziri]] wa [[elimu]] wa Prussia na [[mtaalamu]] wa [[lugha]].
Kati ya 1799 na 1804 Humboldt alisafiri katika [[Amerika ya Kusini]] akiwa mwanasayansi wa kwanza wa kuandika juu ya safari yake katika maeneo haya. Alitambua tayari ya kwamba Amerika Kusini na Afrika ziliwahi kuwa bara ya pamoja kutokana na aina za mimea na wanyama zilizofanana pande zote mbili.
 
Akiwa [[mtoto]] Alexander alipenda kukusanya [[mimea]], [[konokono]] na [[wadudu]].
Baadaye aliongeza safari ya kutembelea Asia ya Kati na sehemu kubwa ya muda wake alitumia kuandika taarifa ya safari hizi na kufanya utathmini ya yale aliyoona na kukuta. Alijaribu kukusanya ujuzi wote wa sayansi wa wakati wake katika "Kosmos" iliyokuwa aina ya kamusi elezo yenye vitabu vitano.
 
Kati ya miaka [[1799]] na [[1804]] Humboldt alisafiri katika [[Amerika ya Kusini]] akiwa mwanasayansi wa kwanza wa kuandika juu ya [[safari]] yake katika maeneo haya. Alitambua tayari ya kwamba Amerika Kusini na [[Afrika]] ziliwahi kuwa [[bara]] ya pamojamoja kutokana na aina za mimea na [[wanyama]] zilizofanana pande zote [[mbili]].
== Viungo vya Nje ==
 
Baadaye aliongeza safari ya kutembelea [[Asia ya Kati]] na sehemu kubwa ya [[muda]] wake alitumiaaliutumia kuandika taarifa ya safari hizi na kufanya utathminitathmini ya yale aliyoonaaliyoyaona na kukutakuyakuta. Alijaribu kukusanya ujuzi wote wa sayansi wa wakati wake katika "Kosmos" iliyokuwa aina ya kamusi elezo yenye vitabu vitano.
 
Alijaribu kukusanya [[ujuzi]] wote wa [[sayansi]] wa wakati wake katika "Kosmos" iliyokuwa aina ya [[kamusi elezo]] yenye [[vitabu]] vitano.
 
== Viungo vya Njenje ==
{{Commons|Alexander von Humboldt}}
* [http://www.avh.de/en/index.htm The website of the Alexander von Humboldt Foundation]
* {{gutenberg author| id=Alexander+von+Humboldt | name=Alexander von Humboldt}}
Line 17 ⟶ 26:
* [http://www.archive.org/details/AlexanderVonHumboldt"Lives of the Brothers Humboldt"] an extensive biography available from the Million Book Project:
* Allgemeine Deutsche Biographie: [[s:de:ADB:Humboldt, Friedrich Wilhelm Heinrich Alexander v.|biography of Humboldt]] at [[Wikisource]]
{{Commons|Alexander von Humboldt}}
* [http://www.globusz.com/ebooks/Equinoctial1/00000010.htm Online version of ''Travels to the Equinoctial Regions of the New World'']
* [http://www.bbc.co.uk/radio4/history/inourtime/inourtime_20060928.shtml "Alexander von Humboldt"], from ''[[In Our Time]]'', a 45 minutes [[BBC Radio 4]] program.
{{mbegu-mwanasayansi}}
 
{{DEFAULTSORT:Humboldt, Alexander}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1769]]
[[Jamii:Waliofariki 1859]]
[[Jamii:WatuWanabiolojia wa Ujerumani]]
[[Jamii:Wapelelezi wa Amerika]]
[[Jamii:Wapelelezi kutoka Ujerumani]]