Ibn Battuta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d The file Image:IbnBattuta.jpg has been replaced by Image:Harîrî_Schefer_-_BNF_Ar5847_f.51.jpg by administrator commons:User:Ymblanter: ''File renamed: #5 obvious error, not ibn Battuta''. ''[[m:User:CommonsDelinker|T...
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Harîrî_Schefer_-_BNF_Ar5847_f.51.jpg|right|220px|]]
'''Abu Abdullah Muhammad Ibn Battuta''' (kwa [[Kar.Kiarabu]]: أبو عبد الله محمد بن بطوطة) alikuwa msafiri, [[mpelelezi]] na [[mtaalamu]] [[Mwarabu]] wa [[karne ya 14]]. Kwa [[usafiri]] mgumu wa siku zile alitembelea nchi mbalimbali na kuvuka [[umbali]] mkubwa kushinda mtu yeyote wa siku zile anayejulikana. Kutoka kwake tunayo [[taarifa]] ya kwanza kuhusu [[mji]] wa [[Kilwa Kisiwani]].
 
==Maisha==
Alizaliwa tarehe [[24 Februari]] [[1304]] mjini [[Tanger]] ([[Moroko]]). Mwaka 1325 alihiji kwenda [[Makka]] na baada ya [[hajj]] hakurudi bali aliendelea kusafiri. Alitembelea karibu nchi zote zilizokaliwa na Waislamu. Kwa jumla alisafiri kwa miaka 30 akivuka umbali wa karibu km 120,000 (hii ni kama kuzunguka dunia yote mara tatu).
Alizaliwa [[tarehe]] [[24 Februari]] [[1304]] [[Mji|mjini]] [[Tanger]] ([[Moroko]]).
 
Alizaliwa tareheMwaka [[24 Februari1325]] [[1304]] mjini [[Tanger]] ([[Moroko]]). Mwaka 1325 alihiji kwenda [[Makka]] na baada ya [[hajj]] hakurudi bali aliendelea kusafiri. Alitembelea karibu nchi zote zilizokaliwa na [[Waislamu]]. Kwa jumla alisafiri kwa miaka 30 akivuka umbali wa karibu [[km]] 120,000 (hii ni kama kuzunguka [[dunia]] yote mara [[tatu]]).
 
Habari zake zimepatikana katika taarifa yake aliyoiandika mwenyewe.
 
Katika safari yake ya kwanza alikwenda [[Makka]] kupitia [[Misri]], [[Yerusalemu]] na [[Dameski]]. Baada ya kumaliza [[hajj]] akajiunga na [[msafara]] kwenda [[Baghdad]] akaona [[ufalme]] wa [[Khan wa Il]] na kutembelea [[Uajemi]] kabla ya kurudi Moroko.
 
Safari yake ya pili ilianza tena kama hajj na safari hii akaendelea kuangalia maeneo ya [[Bahari ya Shamu]] na [[pwani]] ya [[Afrika ya Mashariki]]. Akafika hadi [[Kilwa]], kisha akarudi Makka kupitia [[Omani]].
 
Baada ya kupumzika Makka alikata shauri kuona [[himaya]] ya Sultan[[Sultani]] wa [[Delhi]] ([[Uhindi]]).
Aliamua kujaribu njia kupita [[Uturuki]] kwa sababu alisikia ya kwamba palikuwa na misafara kati ya Waturuki [[Waseldjuki]] na Uhindi. Baada ya kuvuka [[Bahari Nyeusi]] alifika katika milki ya [[Kundi la Dhahabu]] akaendelea katika msafara wa [[Khan]] wa nchi. Alipofika mji mkuu [[Astrakhan]] aliombwa na Khan wa Kundi la Dhahabu mwenyewe kumsindikiza mke wake aliyetaka kutembela nduguye nyumbani kwake [[Konstantinopoli]]. Hivyo Ibn Battuta alifika mara ya kwanza katika nchi nje ya Waislamu.
 
Aliamua kujaribu njia kupita [[Uturuki]] kwa sababu alisikia ya kwamba palikuwa na misafara kati ya [[Waturuki]] [[Waseldjuki]] na [[Uhindi]]. Baada ya kuvuka [[Bahari Nyeusi]] alifika katika [[milki]] ya [[Kundi la Dhahabu]] akaendelea katika msafara wa [[Khan]] wa nchi. AlipofikaAlipofikia [[mji mkuu]] [[Astrakhan]] aliombwa na [[Khan]] wa Kundi la Dhahabu mwenyewe kumsindikiza [[mke]] wake aliyetaka kutembelakutembelea nduguye[[ndugu]] [[Nyumba|nyumbani]] kwake [[Konstantinopoli]]. Hivyo Ibn Battuta alifika kwa mara ya kwanza katika nchi nje ya Waislamuzile za Kiislamu.
Mwishowe alifika Uhindi ambapo alipewa kazi ya [[qadi]] au hakimu. Baada ya miaka kadhaa akatumwa kama balozi wa sultani kwenda [[China]]. Akisafiri kwa jahazi alipita nchi na visiwa vya Asia ya Kusini-Magharibi hadi China.
 
Mwishowe alifika Uhindi ambapo alipewa kazi ya [[qadi]] au [[hakimu]].
 
Mwishowe alifika Uhindi ambapo alipewa kazi ya [[qadi]] au hakimu. Baada ya miaka kadhaa akatumwa kama [[balozi]] wa sultani kwenda [[China]]. Akisafiri kwa [[jahazi]] alipita nchi na [[visiwa]] vya [[Asia ya Kusini-MagharibiMashariki]] hadi China.
 
Kutoka hapa alirudi Moroko kupitia Makka.
Line 19 ⟶ 25:
Safari za baadaye zikampeleka hadi Afrika ya Magharibi alipotembelea ufalme wa [[Mali]].
 
Ibn Battuta aliaga [[dunia]] mnamo [[1377]] huko Moroko.
{{BD|1304|1377}}
 
[[Jamii:Wapelelezi wa Afrika]]
[[Jamii:WatuWapelelezi wa MorokoUhindi]]
[[Jamii:Wapelelezi kutoka Moroko]]