Kiarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 34:
 
Tangu [[karne ya 19]] na katika [[karne ya 20]] [[fasihi ya Kiarabu]] imepata uamsho mkuu. [[Khalil Jibran]] wa [[Lebanon]] yuko kati ya washairi wanaosomwa zaidi kimataifa. [[Nagib Mahfuz]] wa [[Misri]] ni mwandishi Mwarabu wa kwanza aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]] mwaka [[1988]].
 
 
=== Kiarabu na Wapashwar ===
 
Arabic – Arabic, Azeri, Punjabi, Baluchi, Kashmiri, Pashto, Persian, Kurdish (vowels obligatory), Sindhi, Uighur (vowels obligatory), Urdu, and the languages of many other peoples of the Near East
 
==Viungo vya nje==