Kiko (kifaa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:smoking pipe rack.jpg|thumb|Viko tofautitofauti]]
 
'''Kiko''' (pia: '''toza''' au '''mtemba''') ni chombo kinachomwezesha [[mtu]] kuvuta [[moshi]] wa [[tumbaku]], [[bangi]] au [[bidhaa]] nyingine za [[uraibu]] zinazovutwa kama [[sigara]]. Kiko huwa na digali au [[mrija]] uliounganika na kijibakuli<ref>https://sw.oxforddictionaries.com/ufafanuzi/kiko</ref>.
 
Line 5 ⟶ 7:
 
===Sehemu tofauti za Kiko===
[[File:Tobacco pipe parts.svg|thumb|Sehemu tofauti za kiko: (1) kibakuli, (2) chemba, (3) shimo la kupitisha moshi, (4) ahinashina linaloshikana na kibakuli, (5) tunduunganishi la kiko, (6) ulimi unaoingia kwenye tunduunganishi, (7) shina la kikoncha ya kufyonzia, (8) mdakale wa kufyonzia, (9) mdomo wa mrija, na (10) shimo inayopitisha moshi.]]
Kiko huwa na sehemu tofautitofauti za kuwezesha mtumiaji kuvuta tumbaku na pia kuisafisha. Viko vingi huwatoanishwa ncha ya kibakuli na [[ncha]] ya kuvyozia ili kuwezesha usafishaji kwa urahisi. Ncha ya kibakuli ndiyo sehemu yenye kibakuli kinachowekwa chembechembe za tumbaku au bangi na kuashwa. Ncha ya kufyonzia ndiyo huwekwa mdomoni.
 
==Aina ya viko==
===Aina ya viko kulingana na asili===
* Kiseru - kiko cha Japani
* Sebsi - kiko cha tumbaku cha kitamanduni cha Moroko
* Midwakh - kiko cha Kiarabu
* Chibouk - kiko chenye mrija mrefu cha Uturuki
 
* Paipu ya kuvutia tumbaku (maarufu kama Chillum)- tofauti kidogo na viko vingine kiko hiki hakina kibakuki bali kina mrija
===Aina ya viko kulingana na muundo===
* Paipu ya kuvutia tumbaku (maarufu kama Chillum<ref>{{Cite web|url=https://www.trocadero.com/stores/paha/items/495809/bidri-chillum-India-18th-Century|title=A bidri chillum, India, 18th Century. (item #495809)|work=Trocadero|accessdate=2018-10-08}}</ref>)- tofauti kidogo na viko vingine kiko hiki hakina kibakuli bali kina mrija na chembechembe za tumbaku huekwa upande mmoja wa mrija unaowashwa naye mtumiaji anavuta moshi upande ule mwingine.[[Jamii:]]
* Buruma (hujulikana kama Hookahs) - kiko kikubwa chenye jipipa la maji na shilamu au mdakale mrefu. Hutumika sana sana kwenye uvutaji wa shisha
 
===Aina ya viko kulingana na nyenzo===
* Kiko cha chuma -kiko kilichoundwa na chuma sana sana alumini
* kiko cha gilasi
Line 20 ⟶ 27:
* kiko cha kauri<ref>{{Cite web|url=http://www.cafg.net/docs/articles/ClayPipes.pdf|title=Evolution of clay tobacco pipes in England|author=Cambridge Archaeology Field Group|format=PDF|language=en|work=Cambridge Archaeology Field Group|accessdate=2018-10-07}}</ref><ref>Newns, S. The Clay Tobacco Pipes in N. Corcos ''et al''. Excavations in 2014 at Wade Street, Bristol - a documentary and archaeological analysis, Internet Archaeology 45. <nowiki>https://doi.org/10.11141/ia.45.3.4</nowiki> Iliwekwa mnamo 2018-20-07</ref>
* kiko cha gunzi la mahindi<ref>{{cite web|url=http://corncobpipe.com/history.html|title=History of Missouri Meerschaum Company - The world's oldest and largest manufacturer of corn cob pipes. - Washington, MO|archiveurl=https://web.archive.org/web/20010509174106/http://www.corncobpipe.com/history.html|archivedate=2001-05-09|website=corncobpipe.com|deadurl=yes|df=}} Iliwekwa mnamo 2018-10-07.</ref>
 
===Aina ya viko kulingana na matumizi===
* Kibong'i - kiko cha kuvutia bangi au tumbaku chenye uwezo wa kuchunja moshi kwa kuupitishia kwa maji,
* Kiko cha afyuni - kiko maalum cha kuvukisha na kuvuta mivuke ya afyuni
* Kiko cha kiputo - kiko cha watoto cha kuchezea kinacho puliza tone la hewa katika kioevu
 
==Picha ya miundo tofauti ya viko==
Line 54 ⟶ 66:
* https://en.wikipedia.org/wiki/Midwakh
* https://en.wikipedia.org/wiki/Sebsi
* https://en.wikipedia.org/wiki/Opium_pipe
* https://en.wikipedia.org/wiki/Bong
* https://en.wikipedia.org/wiki/Bubble_pipe
 
{{mbegu-utamaduni}}