Kiko (kifaa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 18:
 
===Aina ya viko kulingana na muundo===
* Paipu ya kuvutia tumbaku (maarufu kama Chillum<ref>{{Cite web|url=https://www.trocadero.com/stores/paha/items/495809/bidri-chillum-India-18th-Century|title=A bidri chillum, India, 18th Century. (item #495809)|work=Trocadero|accessdate=2018-10-08}}</ref><ref>{{Citation|last=Wise Pipes|first=|title=Best Chillum Pipes|date=2018-07-03|url=https://wisepipes.com/best-chillum-pipes/|work=Wise Pipes|volume=|pages=|language=en-US|access-date=2018-10-08}}</ref>)- tofauti kidogo na viko vingine kiko hiki hakina kibakuli bali kina mrija na chembechembe za tumbaku huekwa upande mmoja wa mrija unaowashwa naye mtumiaji anavuta moshi upande ule mwingine.[[Jamii:]]
* Buruma (hujulikana kama Hookahs) - kiko kikubwa chenye jipipa la maji na shilamu au mdakale mrefu. Hutumika sana sana kwenye uvutaji wa shisha