Kiko (kifaa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:smoking pipe rack.jpg|thumb|Viko tofautitofauti]]
 
'''Kiko''' (pia: '''toza''' au '''mtemba''') ni chombo kinachomwezesha [[mtu]] kuvuta [[moshi]] wa [[tumbaku]], [[bangi]] au [[bidhaa]] nyingine za [[uraibu]] zinazovutwa kama [[sigara]]. Kiko huwa na digali au [[mrija]] uliounganika na kijibakuli<ref>https://sw.oxforddictionaries.com/ufafanuzi/kiko</ref>.
 
Line 18 ⟶ 17:
 
===Aina ya viko kulingana na muundo===
* Paipu ya kuvutia tumbaku (maarufu kama Chillum<ref>{{Citation|last=Mahajan|first=Vaibhav|title=History and Types of Chillums|date=2018-02-02|url=https://outontrip.com/blogs/cillum/history-and-types-of-chillums-outontrip-com|work=Outontrip|volume=|pages=|access-date=2018-10-08}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://www.trocadero.com/stores/paha/items/495809/bidri-chillum-India-18th-Century|title=A bidri chillum, India, 18th Century. (item #495809)|work=Trocadero|accessdate=2018-10-08}}</ref><ref>{{Citation|last=Wise Pipes|first=|title=Best Chillum Pipes|date=2018-07-03|url=https://wisepipes.com/best-chillum-pipes/|work=Wise Pipes|volume=|pages=|language=en-US|access-date=2018-10-08}}</ref>)- tofauti kidogo na viko vingine kiko hiki hakina kibakuli bali kina mrija na chembechembe za tumbaku huekwa upande mmoja wa mrija unaowashwa naye mtumiaji anavuta moshi upande ule mwingine.[[Jamii:]]
* Buruma (hujulikana kama Hookahs) - kiko kikubwa chenye jipipa la maji na shilamu au mdakale mrefu. Hutumika sana sana kwenye uvutaji wa shisha
 
===Aina ya viko kulingana na nyenzo===
* Kikokiko cha chuma -kiko kilichoundwa na chuma sana sana alumini
* kiko cha gilasi
* kiko cha mboko
Line 29 ⟶ 28:
 
===Aina ya viko kulingana na matumizi===
* Kibong'i - kiko cha kuvutia bangi au tumbaku chenye uwezo wa kuchunja moshi kwa kuupitishia kwa maji,
* Kiko cha afyuni - kiko maalum cha kuvukisha na kuvuta mivuke ya afyuni
* Kiko cha kiputo - kiko cha watoto cha kuchezea kinacho puliza tone la hewa katika kioevu
 
==Picha yaza miundo tofauti ya viko==
<gallery>
Picha:Zulu.jpg|Bing