Chamchela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Chamchela''' (pia: '''kinyamkera''' kutokana na [[Ushirikina|imani ya kishirikina]]) ni [[upepo]] mkali unaovuma katika nchi kavu kwa [[nguvu]] na [[kasi]] ya [[km]] 117 kwa [[saa]]. Ndiyo sababu huleta madhara kama kubomoa nyumba au kuezua paa, kuharibu miti, kuangusha mazao n.k.
 
[[Watu]] wengi wanadhani ni sawa na [[kimbunga]], kumbe kimbunga ni upepo mkali unaovuma [[Bahari|baharini]].