Hija : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
* [[Uislamu|Waislamu]] huwa na [[hajj]] kutembelea [[Makka]], [[Washia]] wanatembela pia ma[[kaburi]] ya ma[[imamu]] wao huko [[Najaf]], [[Karbala]], [[Mashhad]] na penginepo. Mwislamu aliyetimiza safari hii anapokea [[cheo]] cha "[[alhaji]]" kama sehemu ya jina lake.
 
==[https://www.al-feqh.com/sw/hukumu-za-hija-na-umra Masharti ya Hijja katika Uislamu]==
*1. Uislamu. Hijja haimlazimu kafiri, na akihiji haisihi hijja yake.
*2. Kuwa na akili. Hija haimlazimu mwendawazimu, kwa neno lake ﷺ: (Watu watatu hawaandikiwi dhambi: aliyelala mpaka azunduke, mtoto mapaka abaleghe na mwendawazimu mpaka apate akili) [Imepokewa na Abu Daud.].
*3. Kubaleghe. Hijja haimlazimu mtoto mdogo, na lau mtoto mdogo atahirimia hija basi hija yake itasihi. Lakini haimtoshelezi na Hijja ya Uislamu, na itahesabiwa ni Sunna. Hii ni kwa hadithi ya Ibnu ‹Abbas t kwamba mwanamke mmoja alimuinulia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ mtoto, na akasema: «Je, huyu ana Hija? Mtume akasema: (Ndio, nawe una thawabu) [Imepokewa na Muslim].
4. Uhuru
Hijja haimlazimu mtumwa, kwa kuwa Mtume ﷺ amesema: (Mtumwa yoyote aliyehiji kisha akaachwa huru, basi itamlazimu Hija nyingine) [Imepokewa na Muslim.].
 
5. Uwezo
Nao ni kuwa na matumizi [ Zaad: Vitu anvyovihitajia kama chakula, kinywaji na mavazi.] na kipando [ Raahilah: Kipando anachokipanda kama gari au ndege au meli..], kwa neno lake Mwenyezi Mungu U: {Ni haki ya Mwenyezi Mungu juu ya watu waikusudie Alkaba kwa ibada ya Hija kwa anayeweza kwenda huko} [3: 97]
 
6. Kuweko na maharimu [ Mahram: ni yule ambaye ni haramu kwa mwanamke kuolewa naye kama baba, ndugu na mjomba.] ya Mwanamke
Kwa hadithi ya Ibnu ‹Abbas t kuwa alisema: Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: ( Hasafiri mwanamke isipokuwa pamoja na mtu maharimu yake).
 
Akainuka mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Mke wangu ametoka kwenda kuhiji, na mimi nimejisajili katika vita kadha na kadha. Akasema Mtume ﷺ: (Toka uende kuhiji na mkeo) [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]
https://www.al-feqh.com/sw/hukumu-za-hija-na-umra
 
==Jina==