Shirikisho la Afrika ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
File renamed. (GlobalReplace v0.6.5)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Flag of the Federation of Rhodesia and Nyasaland (1953–1963).svg|thumb|200px|Bendera ya Shirikisho la Afrika ya Kati]]
[[Image:CAF-map-2.png|thumb|200px|Eneo la Shirikisho la Afrika ya Kati]]
'''Shirikisho la Afrika ya Kati''' iliitwa(liliitwa pia '''Shirikisho la Rhodesia na Unyasa''') ikawalilikuwa [[dola]] la kujitawala chini katika mfumo wa [[ukoloni]] wa [[Uingereza]] uliounganisha nchi za leo za [[Zambia]], [[Zimbabwe]] na [[Malawi]] zilizoitwa wakati ule [[Rhodesia ya Kaskazini]], [[Rhodesia ya Kusini]] na [[Unyasa]] (Nyassaland).
Ilipatikana kati ya 1953 hadi mwisho wa 1963.
 
IlipatikanaLilipatikana kati ya [[mwaka]] [[1953]] hadi mwisho wa [[1963]].
Shirikisho lilianzishwa 1. 08. 1953 kwa shabaha ya kuunda nchi itakayofuata njia kati ya muundo wa ubaguzi wa rangi ya [[Afrika Kusini]] upande mmoja na nchi huru zilizotawaliwa na wanasiasa Waafrika wenye mwelekeo wa Ujamaa. Ilikuwa jaribio la kutunza kipaumbele wa walowezi wa asili ya [[Ulaya]].
 
Shirikisho lilianzishwa tarehe [[1. 08.Agosti]] 1953 kwa shabaha ya kuunda nchi itakayofuata njia kati ya muundo wa [[ubaguzi wa rangi]] ya [[Afrika Kusini]] upande mmoja na [[nchi huru]] zilizotawaliwa na [[wanasiasa]] [[Waafrika]] wenye mwelekeo wa [[Ujamaa]]. IlikuwaLilikuwa jaribio la kutunza kipaumbele wacha [[walowezi]] wawenye [[asili]] ya [[Ulaya]].
Mwisho ulikaribia baada ya miendo ya kumaliza ukoloni duniani kote na nguvu ya wawakilishi wa Waafrika katika eneo la shirikisho iliongezeka nguvu. Mwisho wa 1963 Rhodesia ya Kaskazini ilikuwa taifa jipya la [[Zambia]] na Uyasa (Nyassaland) ikawa [[Malawi]]. Rhodesia ya Kaskazini ilibaki peke yake ikitangaza uhuru wake miaka kadhaa baadaye na baada ya vita ya ukombozi kuwa nchi ya [[Zimbabwe]].
 
Mwisho ulikaribia baada ya miendo ya kumaliza ukoloni [[duniani]] kote na nguvu ya wawakilishi wa Waafrika katika eneo la [[shirikisho]] iliongezeka nguvu.
 
Mwisho wa mwaka 1963 Rhodesia ya Kaskazini ilikuwa [[taifa]] jipya la [[Zambia]] na Unyasa (Nyassaland) ikawa [[Malawi]].
 
[[Rhodesia ya Kusini]] ilibaki peke yake ikitangaza [[uhuru]] wake miaka kadhaa baadaye na baada ya [[vita vya ukombozi]] kuwa nchi ya [[Zimbabwe]].
 
{{mbegu-siasa}}
 
[[Jamii:Rhodesia]]
[[Jamii:Historia ya Malawi]]
[[Jamii:Historia ya Zambia]]