Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
==Uchaguzi wa Rais 2007==
Uchaguzi wa rais nchini [[Kenya]] ulikuwa na matatizo mengi na kusababisha kipindi cha mvurugo na vifo.
 
Baada ya [[Raila Odinga]] wa ODM kuongoza katika hesabu ya kura kwa muda mrefu Tume la Uchaguzi lilisimamisha hesabu ya kura kwa muda wa usiku mmoja na baada kuanza upya kura za [[Mwai Kibaki]] wa PNU zilikuwa mbele. Tume likamtangaza Kibaki kuwa mshindi aliyeapishwa mara moja bila kusubiri muda wa kisheria kwa malalamiko. Watazamaji waliona kasoro, makosa na matokeo yaliyodokeza ya kwamba matokeo yalibadilishwa kwenye ngazi za kupiga jumla za kura kimkoa na kitaifa. Vilevile kuna madokezo ya kwamba kura za kiraisi ziliongezwa katika usiku ambako hesabu ilisimamishwa.