National Rainbow Coalition : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d kurekebisha herufi tu
Mstari 4:
Ilikuwa maungano wa vyama mbalimbali vya upinzani dhidi ya [[KANU]] na rais [[Daniel arap Moi]]. Ilikuwa hasa na pande mbili:
*vyama vya [[National Alliance Party of Kenya]] (NAK) iliyounganisha [[Democratic Party (Kenya)|Democratic Party]] ya [[Mwai Kibaki]] , [[Ford-Kenya]] chini ya [[Michael Wamalwa]] na NPK chini ya [[Charity Ngilu]] pamoja na vyama vidogo mbalimbali
* Chama cha [[LDP (Kenya)|LDP]] kilichounganisha wanasiasa walioondoka katika KANU baada ya [[Uhuru Kenyatta]] kutangaziwa kuwa mgombea wa urais. Kati yao walikuwa hasa Raila Odinga na wanachama wa awali wa NDP, halfuhalafu wana-KANU wa miaka mingi waliosikitika jinsi Moi alimteua Uhuru Kenyatta kuwa mfuasi wake.
 
==Memorandum of Understanding==
Mstari 15:
 
==Ushindi na mwanzo wa farakano==
NARC ikashinda uchaguzi wa 2002 na Kibaki akawa rais mpya. LDP ilikuwa na wabunge wengi kati ya vyama vya NARC. Lakini Kibaki hakutekeleza azimio la pamoja katika ''Memorandum of Understanding'' kupatia LDP nusu ya mawaziri wala kuwezesha mabadiliko ya katiba ya kumpa Odinga nafasi ya waziri mkuu.
 
LDP iliendelea kudai mapatano yafuatwe, ikakataliwa na polpolepolepole kuelekea upande wa upinzani hata kama bado ilikuwa sehemu ya serikali.
 
==NARC kutoshikamana kuhusu katiba 2005==
Katika miaka iliyofuata farakano ilikua. Mwaka 2005 Kibaki alijaribu kupitisha katiba mpya isiyopunguaisiyopunguza sana madaraka yake. Hapa sehemu kubwa ya LDP pamoja na KANU wakiungana kwa harakati ya machungwa (ODM) walipinga pendekezo la katiba katika kura maalumu ya wananchi, na pendekezo likakataliwa na wananchi.
 
==Kuondoka kwa LDP==
Mstari 30:
 
==Mabaki ya NARC==
Kiongozi wa kisheria alikuwa [[Charity Ngilu]] asiyekuabliwaasiyekubaliwa na sehemu ya viongozi waliokuwa karibu na rais. Hivyo walianzisha 2006 kitengo kipya kwa jina la NARC-Kenya iliyoingia 2007 katika maungano ya [[Party of National Unity (Kenya)|PNU]] ya Kibaki.
 
Ngilu aliamua Septemba 2007 kusimama upande wa Raila Odinga. Katika cuhaguziuchaguzi wa 2007 NARC iliweza kusimamisha wagombea wachache nje ya maungano ya [[Orange Democratic Movement]] na watatu walichaguliwa.