Kemikali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
 
[[Dutu]] za kikemikali zinazopatikana [[nyumba]]ni hujumuisha maji, [[chumvi]] na [[klorini]] ([[buluu]]).
 
== Historia ya Kemikali ==
Dhana ya kemikali ilianza karne ya kumi na nane baada ya mwanasayansi Joseph Proust aliandika mengi kuhusu kemikali kama copper carbonate. Alieleza kwamba katika kemikali yoyote, mchanganyiko ule huwa na vitu sawa kwa mfano ukichanganya gramu ya copper na gramu nyingine ya Carbonic acid basi utapata kwamba mchanganyiko utakaotengenezwa, bado ile gramu ya copper ipo na ile ya Carbonic acid ipo ingawa pengine ikafifia kwa kubadilika kuwa gesi.
 
== Matumizi ya kemikali leo ==
Kemikali zina manufaa mengi leo kama:
 
* Kutengeneza dawa za watu
* Kuua kupe na vidudu vingine vinavyosumbua. Hili hutumika sana na watu wa [https://bestpestcontrolsydney.com.au/ pest control].
* Kemikali zingine hutumika kuosha nguo au kutengeneza sabuni
* Kuhifadhi chakula kwa muda mrefu
 
{{mbegu-kemia}}