Kemikali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
== Historia ya Kemikali ==
Dhana ya kemikali ilianza [[karne ya kumi na nane18]] baada ya [[mwanasayansi]] [[Joseph Proust]] aliandikakuandika mengi kuhusu kemikali kama copper carbonate. Alieleza kwamba katika kemikali yoyote, mchanganyiko ule huwa na vitu sawa, kwa mfano ukichanganya [[gramu]] ya copper na gramu nyingine ya Carbonic acid, basi utapata kwamba mchanganyiko utakaotengenezwa, bado ile gramu ya copper ipo na ile ya Carbonic acid ipo, ingawa pengine ikafifia kwa kubadilika kuwa [[gesi]].
 
== Matumizi ya kemikali leo ==
Kemikali zina manufaa mengi leo kama:
* Kutengeneza dawa za kutibia [[watu]]
* Kuua [[kupe]] na vidudu vingine vinavyosumbua. Hili hutumika sana na watu wa <ref>[https://bestpestcontrolsydney.com.au/ pest control].</ref>
* Kemikali zinginenyingine hutumika kuosha [[nguo]] au kutengeneza [[sabuni]]
* Kuhifadhi [[chakula]] kwa [[muda]] mrefu
 
==Tanbihi==
* Kutengeneza dawa za watu
{{reflist}}
* Kuua kupe na vidudu vingine vinavyosumbua. Hili hutumika sana na watu wa [https://bestpestcontrolsydney.com.au/ pest control].
* Kemikali zingine hutumika kuosha nguo au kutengeneza sabuni
* Kuhifadhi chakula kwa muda mrefu
 
{{mbegu-kemia}}