Joshua Kimmich : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Joshua Kimmich Training 2017-03 FC Bayern Muenchen-1.jpg|thumb|260x260px|Kimmich akiwa mazoezini.]]
'''Joshua Walter Kimmich''' (alizaliwa tarehe [[8 Februari]], [[1995]]) ni [[mchezaji]] wa soka wa [[Ujerumani]] ambaye anacheza kama [[beki]] wa kulia]] katika [[klabu]] ya [[Bayern Munich FC]] na [[timu]] ya taifa]] ya Ujerumani.
 
 
==Maisha==
Kimmich alianza kucheza mpira wa miguu katika klabu ya vijana ya [[VfB Stuttgart]] kabla ya kujiunga na [[RB Leipzig]] mwezi [[Julai]] [[2013]].
 
Mnamo [[2 Januari]] [[2015]], Kimmich alikubali kujiunga na [[Bayern Munich]] katika mkataba wa miaka mitano ambao unafanyika hadi [[30 Juni]] [[2020]], kwa ada ya [[€]] [[milioni]] 7.
 
 
{{mbegu-cheza-mpira}}
[[jamii:waliozaliwa 1995]]
 
 
[[jamii:watu walio hai]]
[[jamii:waliozaliwa 1995]]
[[jamii:wachezaji mpira wa Ujerumani]]