Tofauti kati ya marekesbisho "Chuki"

173 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
[[File:Hate zh.svg|upright=0.7|thumb|Chuki kwa [[Kichina]].]]
[[File:Duluth-lynching-postcard.jpg|thumb|upright=1.4|[[Mauaji ya Duluth]], [[15 Juni]] [[1920]].]]
'''Chuki''', kinyume cha [[pendo]], ni hali ya [[mtu]] au kikundi cha watu kutopenda [[kitu]] fulani.
 
Mfano watu wema wengi hawapendi [[uovu]], kwa hiyo wana chuki na uovu.
 
Mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya [[uchumi]], ya [[siasa]], ya jinsia, ya [[dini]], ya [[asili]] n.k.
 
Inaweza ikatokana na [[kijicho]] na kuishia katika mauaji hata ya halaiki, kama vile [[mauaji ya kimbari]].