Mkopo (fedha) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 1:
'''Mkopo''' wa kifedha ni [[pesa]] anazopewa mtu au [[shirika]] kama [[deni]] na [[benki]], asasi ya fedha ya ushirika<ref>{{Cite journal|last=Lunyeka|first=Saulo P.|last2=Nzuki|first2=Margreth P.|last3=Hassan|first3=Abdallah K.|date=April, 2005|others=Uploaded by Fpct Shelui|title=Mwongozo wa Mafunzo ya Uimarishaji wa Ushirika wa Akiba na Mikopo, Elimu ya Ujasiriamali na Stadi za Biashara Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii|url=http://www.academia.edu/27896651/Mwongozo_wa_Mafunzo_ya_Uimarishaji_wa_Ushirika_wa_Akiba_na_Mikopo_Elimu_ya_Ujasiriamali_na_Stadi_za_Biashara_Taasisi_ya_Tafiti_za_Kiuchumi_na_Kijamii|format=PDF|journal=Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS|language=sw|publisher=Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii|volume=|page=1|pages=|isbn=978 - 9987 - 770 - 03 - 8|access-date=2018-10-15|via=Academia}}</ref>, kundi au mashirka mengine yarioidhinishwa kukopesha [[fedha]].<ref>{{Cite journal|last=Kenya|first=Bankers Association|date=Novemba, 2012|others=Contributions by: Habil Olaka, Bernadette Ngara, Fidelis Muia, William Maiyo, Bhaskar Kalyan, Kariuki Waihenya, Kristopher Kinyanjui, Abdia Dabaso, Hannah W. Ndarwa.
Kiswahili translation by Shaban Ulaya
Page design and layout by Conrad Karume|title=Mwongozo wa Mteja katika shughuli za benki nchini Kenya; Matarajio ya desturi ya shughuli za benki kama yalivyokusanywa na chama cha wenye mabenki nchini Kenya|url=https://www.sc.com/ke/_pdf/KBA%20C.%20GUIDE%20SWAHILI.pdf|journal=Mwongozo wa mteja wa KBA|location=Nairobi, Kenya|publisher=Chama cha wenye mabenki nchini (Kenya Bankers Association)|volume=Toleo la 2|page=16-19|pages=|at=Sehemu ya 5: Mikopo ya benki na mikopo mingine|access-date=2018-10-15|via=}}</ref> Anaye pata mkopo huwa na deni analofaa kulipa kulingana na makubariano rasmi yake na anayemkopesha. Deni hili linaweza kuwa [[karadha]]<ref>{{Cite web|url=http://learn.e-limu.org/topic/view/?c=192|title=Msamiati: Malipo|author=eLimu|language=en|work=learn.e-limu.org|publisher=eLimu eLearning Company Limited.|accessdate=2018-10-15}}</ref> au mkopa unaolipwa na [[riba]]<ref>{{Cite web|url=http://swa.gafkosoft.com/msamiati_wa_malipo|title=Msamiati wa Malipo|author=Paneli la Kiswahili|language=sw|work=swa.gafkosoft.com|publisher=Gafkosoft|accessdate=2018-10-15}}</ref>. Riba diyo faida ya mashirika kama benki yanayo fanya biashara ya ukopeshaji.
 
== Aina za mikopo==