Mkopo (fedha) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mkopo''' wa kifedha ni [[pesa]] anazopewa mtu au [[shirika]] kama [[deni]] na [[benki]], asasi ya fedha ya ushirika (SACCO)<ref>{{Cite journal|last=Lunyeka|first=Saulo P.|last2=Nzuki|first2=Margreth P.|last3=Hassan|first3=Abdallah K.|date=April, 2005|others=Uploaded by Fpct Shelui|title=Mwongozo wa Mafunzo ya Uimarishaji wa Ushirika wa Akiba na Mikopo, Elimu ya Ujasiriamali na Stadi za Biashara Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii|url=http://www.academia.edu/27896651/Mwongozo_wa_Mafunzo_ya_Uimarishaji_wa_Ushirika_wa_Akiba_na_Mikopo_Elimu_ya_Ujasiriamali_na_Stadi_za_Biashara_Taasisi_ya_Tafiti_za_Kiuchumi_na_Kijamii|format=PDF|journal=Mwongozo wa Mafunzo ya SACCOS|language=sw|publisher=Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii|volume=|page=1|pages=|isbn=978 - 9987 - 770 - 03 - 8|access-date=2018-10-15|via=Academia}}</ref>, kundi au
Kiswahili translation by Shaban Ulaya
Page design and layout by Conrad Karume|title=Mwongozo wa Mteja katika shughuli za benki nchini Kenya; Matarajio ya desturi ya shughuli za benki kama yalivyokusanywa na chama cha wenye mabenki nchini Kenya|url=https://www.sc.com/ke/_pdf/KBA%20C.%20GUIDE%20SWAHILI.pdf|journal=Mwongozo wa mteja wa KBA|location=Nairobi, Kenya|publisher=Chama cha wenye mabenki nchini (Kenya Bankers Association)|volume=Toleo la 2|page=16-19|pages=|at=Sehemu ya 5: Mikopo ya benki na mikopo mingine|access-date=2018-10-15|via=}}</ref> Anaye pata mkopo huwa na deni analofaa kulipa kulingana na makubariano rasmi yake na anayemkopesha. Deni hili linaweza kuwa [[karadha]]<ref>{{Cite web|url=http://learn.e-limu.org/topic/view/?c=192|title=Msamiati: Malipo|author=eLimu|language=en|work=learn.e-limu.org|publisher=eLimu eLearning Company Limited.|accessdate=2018-10-15}}</ref> au
== Aina za mikopo==
Mstari 7:
===Aina ya mikopo kulingana na yanayohitajika ===
* Mkopo wa dhamana - ni mkopo unaohitaji anayekopa kua na raslimali kama dhamana ya mkopo. Kv. mkopo kutoka kwa benki na Asasi ya fedha ya ushirika (SACCO).
* mkopo usio na dhama - ni mkopo usio hitaji anayekopa kuwa na raslimali ama dhamana ya mkopo kv. mkopo kutoka kwa marafiki na jamii.
Mstari 14:
===Aina ya mikopo kulingana lengo la matumizi===
Mashirika tofauti pia hupeana mikopo ya kazi tofauti tofauti ikiwemo:-
* Mkopo wa kilimo
* Mkopo wa biashara
Mstari 22:
* Mkopo wa ardhi na raslimali zingine
* Mkopo wa matumizi ya mtu binafsi
* Mkopo wa
* Mkopo wa siku mbaya - huu ni mkopo wa hapo kwa hapo wa siku mbaya wakati mtu anahitaji pesa za dharura (ujulikanao kwa Kingereza kama payday loans).
|