Kamera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
Wakati [[picha]] inachukuliwa, [[kifuniko]] kinatoka nje ya [[njia]]. Hii inakuwezesha [[nuru]] kuingia kwa [[njia]] ya kufungua na kufanya [[picha]] kwenye [[filamu]] au kihisio cha [[umeme]]. Katika kamera nyingi, ukubwa wa [[tundu]] unaweza kubadilishwa ili iwe rahisi zaidi au [[mwanga]] mdogo. Muda ambao [[kifuniko]] kinauwezesha mwanga inaweza pia kubadilishwa. Hii pia inakuwezesha mwanga zaidi au [[mwanga]] mdogo. Mara nyingi, [[umeme]] ndani ya kamera hudhibiti haya, lakini katika kamera nyingine mtu anayeichukua [[picha]] anaweza kubadilisha pia.
 
Lenzi humwezesha mpiga picha kuvuta mbali au karibu picha anayoipiga. Kwa jia hii mpiga picha anapata uwezo wa kupiga picha kitu kilicho mbali au vitu ndogo kupindukia kwa urahisi na kupata picha safi. Kamera nyingi huwa na lenzi yake na uwezo wa kuongezewa lenzi zingine za nje kulingana na kazi inayolengwa kufanywa. Lenzi za nje zina uwezo na ulefu wa kuona tofauti kulinga na ukubwa wake na idadi ya lenzi zenyewe zilizotumika.
 
{{tech-stub}}