Upelelezi (Jiografia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kaondosha yaliyomo
No edit summary
Mstari 1:
'''Upelelezi''' ni tendo la kufanya [[ziara]] kwa nia ya kugundua au kujifunza kuhusu kitu au mahali. Kwa mfano, [[Anga la nje#Upelelezi wa anga la nje|upelelezi wa anga la nje]] unafanywa kwa kutuma binadamu na [[roboti]] katika huko ili wakusanye habari zaidi kuhusu [[ulimwengu]] na [[Mfumo wa sayari|mifumo ya sayari]].
 
Upelelezi unaojulikana zaidi ni ule uliofanywa na Wazungu, wakati wa enzi za upelelezi, kwa sababu tofauti. Walizuru [[Afrika]], [[Amerika]], [[Australia]] na [[funguvisiwa]] vya [[Pasifiki]] na [[Bahari Hindi]].
 
{{Mbegu-jio}}
[[Jamii:Kazi]]