Frederick Lugard : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Frederick Lugard, 1st Baron Lugard.jpg|thumb|Frederick Lugard]]
'''Frederick John Dealtry Lugard''' ([[22 Januari]] [[1858]] – [[11 Aprili]] [[1945]]), alikuwa [[mwanajeshi]], [[mamluki]], [[upeleleziUpelelezi (Jiografia)|mpelelezi]] na [[mtawala]] wa [[koloni]].
 
Alikuwa [[Gavana]] wa [[Hong Kong]] ([[1907]]-[[1912]]), Gavana wa mwisho wa [[Nchi Lindwa]] ya [[Nijeria Kusini]] (1912-[[1914]]), [[balozi]] wa kwanza ([[1900]]-[[1906]]) na gavana wa mwisho (1912-1914) wa Nchi Lindwa ya [[Nijeria Kaskazini]] na Gavana Mkuu wa kwanza wa [[Nijeria]] (1914-[[1919]]).
Mstari 14:
Agosti, mwaka [[1890]], Lugard alisafiri kutoka Mombasa hadi [[Uganda]]. Alihakikisha [[utawala]] na ushawishi wa Uingereza katika [[Ufalme wa Buganda]] na kukomesha ghasia kati ya vikundi tofauti ndani ya ufalme.<ref>{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=FT0zAQAAMAAJ&dq=lugard%20blood%20brotherhood&pg=PA330#v=onepage&q=lugard%20blood%20brotherhood&f=false|title=The London Quarterly and Holborn Review|date=1894|publisher=E.C. Barton|pages=330|language=en}}</ref><ref>{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=UEc9DgAAQBAJ&lpg=PA126&ots=ebQ12BwMNh&dq=ibeac%20treaty&pg=PA126#v=onepage&q=ibeac%20treaty&f=false|title=Robert Thorne Coryndon: Proconsular Imperialism in Southern and Eastern Africa, 1897-1925|last=Youé|first=Christopher P.|date=2006-01-01|publisher=Wilfrid Laurier Univ. Press|isbn=9780889205482|pages=126|language=en}}</ref>
 
Alipatiwa [[jukumu]] la kufanya makubaliano na [[Kabila|makabila]] ya wenyeji na kujenga [[ngome]] njiani ili kuhakikisha [[usalama]] wa ziara ambazo IBEAC ingefanya baadaye.<ref>{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=7XQdt37BJ6cC&lpg=PA11&ots=USyYZB_L7X&dq=ibeac%20treaty%20russell%20diary&pg=PP1#v=onepage&q=ibeac%20treaty%20russell%20diary&f=false|title=Red Strangers: The White Tribe of Kenya|last=Nicholls|first=Christine Stephanie|date=2005|publisher=Timewell Press|isbn=9781857252064|pages=10|language=en}}</ref> IBEAC ilifanya makubaliano kutumia hati rasmi zilizokuwa zimeandikwa na kutiwa [[saini]] na watawala na viongozi wa makabila, lakini Lugard alipendelea kufanya makubaliano ya [[Uchale|undugu wa kuchanjiana]], kwani aliamini [[undugu]] huo uliwasawazisha.<ref name=":0">{{Cite book|url=https://www.worldcat.org/oclc/968732897|title=The Lunatic Express.|last=Charles.|first=Miller,|date=2015|publisher=Head of Zeus|year=|isbn=9781784972714|location=|pages=4015|oclc=968732897}}</ref> Aliingia katika makubaliano kadhaa kama hayo na viongozi wa makabila kati ya Mombasa na Uganda. Mojawapo ya makubaliano ya uchale ambayo ni maarufu yalifanyika mwaka 1890, katika [[Dagoretti]], kati yake na [[Waiyaki]] wa [[Hinga]].<ref>{{Cite book|url=https://books.google.co.ke/books?id=sO-TBwAAQBAJ&dq|title=Africans and Britons in the Age of Empires, 1660-1980|last=Osborne|first=Myles|last2=Kent|first2=Susan Kingsley|date=2015-03-24|publisher=Routledge|isbn=9781317514817|pages=1|language=en}}</ref>
 
Lugard alikuwa mtawala wa [[jeshi]] katika Uganda kutoka Disemba 26, mwaka 1890 hadi Mei mwaka 1892. Wakati huo, alizuru [[Safu ya Ruwenzori]] hadi [[Ziwa Edward]], akichora [[ramani]] ya maeneo hayo. Pia, alisafiri hadi [[Ziwa Albert (Afrika)|Ziwa Albert]] akarudi na [[Elfu|maelfu]] ya [[Wasudani]] ambao walikuwa wameachwa na [[Emin Pasha]] na [[Henry Morton Stanley]] wakati wa ziara yao.