Kamera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
Lenzi humwezesha mpigapicha kuvuta mbali au karibu picha anayoipiga. Kwa njia hii mpigapicha anapata uwezo wa kupiga kwa urahisi picha ya kitu kilicho mbali au kitu kidogo sana na kupata picha safi.
 
Kamera nyingi huwa na lenzi yake na uwezo wa kuongezewa lenzi nyingine za nje kulingana na kazi inayolengwa kufanywa. Lenzi za nje zina uwezo na [[urefu]] wa kuona tofauti kulingana na ukubwa wake na [[idadi]] ya lenzi zenyewe zilizotumika.<ref>{{Cite web|url=https://www.photographymad.com/pages/view/lenses|title=Camera Lenses|author=Photography Mad|work=www.photographymad.com|accessdate=2018-10-15}}</ref> Kuna lenzi za nje za simu pia.<ref>{{Citation|last=Heller|first=Emily|title=Take professional-quality iPhone pictures with one of these clip-on lens adaptors|url=https://mashable.com/2018/01/18/iphone-android-clip-on-iphone-camera-lens/#Cc.UIF2c5Pqn|work=Mashable|language=en|access-date=2018-10-15}}</ref>
 
== Tanbihi ==
{{Reflist}}
 
== Marejeo ==
* https://en.wikipedia.org/wiki/Camera
* https://en.wikipedia.org/wiki/Camera_lens
 
==Viungo vya nje==
 
{{tech-stub}}