Delta : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d →Delta ya barani: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|it}} using AWB (10903) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Nile River and delta from orbit.jpg|thumb|right|300px|Delta ya [[Mto Nile]] inavyoonekana kutoka angani - picha ya [[NASA]]]]
'''Delta'''
== Kutokea kwa delta ya mto ==
Umbo hili hutokea kama [[maji]] ya mto yanabeba [[matope]], [[mchanga]] na [[mashapo]] mengine hadi mdomo wake [[bahari|baharini]] au [[Ziwa|ziwani]]. Maji ya mto yakiingia baharini
Mto unaendelea kupeleka mishapo yake mdomoni na kujenga delta yake ndani ya bahari jinsi inavyoonekana kwenye [[mto Nile]] ambako delta imetoka nje ya [[mstari]] wa [[pwani]].
Ikiwa bahari ina tofauti kubwa kati ya [[maji kujaa na kupwa]] mdomoni
== Mito mikubwa yenye mdomo wa delta ==
Pamoja na mto Nile kuna mito mingi mikubwa yenye mdomo wa delta:
* [[Afrika]] kuna delta ya [[mto Niger]] katika [[Nigeria]] na ya [[mto Zambezi]] katika [[Msumbiji]]
* [[Amerika]] kuna delta za [[Amazonas]] ([[Brazil]]) na [[Mississippi]] ([[Marekani]])
* [[Asia]] ina delta kubwa za [[
* [[Ulaya]] kuna delta kubwa za [[Rhine]] ([[Uholanzi]]), [[Rhone]] ([[Ufaransa]]), [[Danubi]] ([[Romania]]), [[Ebro]] ([[Hispania]]), [[Volga]] na [[Lena]] ([[Urusi]])
== Delta ya barani ==
[[Picha:Saddle-billed-storks-in-Okawango-delta.jpg|thumb|[[Korongo Domo-ngazi]] wawili kwenye mkono moja wa delta ya barani ya Okavango.]]
Wakati mwingine delta inatokea [[Bara|barani]] pasipo
Huko [[Mali]] kuna delta ya barani ya mto Niger; mto unajigawa kwa mikono mbalimbali katika eneo kubwa la maziwa na maeneo ya matopematope.
Mto
{{mbegu-jio}}
[[Jamii:Jiografia]]
[[Jamii:Mito]]
|