Upinde : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Bow and arrow dec 2013.png|link=Picha:Bow%20and%20arrow%20dec%202013.png|thumb|[[Mtu]] akijaribu kutupaakitupa [[mshale]] kwa kutumia upinde.]]
'''Upinde''' (kutoka [[kitenzi]] "kupinda") ni [[mti]] uliokunjwa na kuunganishwa kwa [[kamba]] au [[ngozi]] hutumiwa kwa ajili ya kurushia [[Mshale|mishale]].
 
== Historia ya Upindeupinde ==
Inaaminika kuwa upinde wa kale kabisa ulipatikana [[Holmegård]] nchini [[Denmark]] ukiwa na miaka 8.000.
 
Mstari 10:
 
Leo upinde hutumika kwa minajili ya kuwinda na katika [[mchezo]] wa archery ingawapo wachezaji wa mchezo huo hutumia upinde wenye muundo tofauti na ulioboreshwa <ref>[https://www.strongnia.com/reverse-curve-crossbow-pros-cons/ crossbow]</ref>.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==