Lishe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Cucurbita 2011 G1.jpg|thumb|[[Matunda]] mengi yanaboresha lishe.]]
Lishe ni sayansi ambayo hufafanua uwiano wa vurutubishi na madini mengine katika vyakula. Uwiano huu huangaliwa kati ya uzazi, kukuwa kwa kimo ,afya na magonjwa .Lishe huhusisha kuliwa kwa chakula,madini na virutubishi kuchukuliwa mwilini ,madini na virutubishi kutumika na seli za mwili,hali kadhalika kuondolewa kwa uchafu katika mwili
'''Lishe''' (kutoka [[kitenzi]] "kula" kikinyambuliwa kama "kulisha"; kwa [[Kiingereza]]: [[:en:Nutrition|Nutrition]]) ni [[tawi]] la [[sayansi]] ambalo hufafanua uwiano wa [[virutubishi]] na [[madini]] katika [[vyakula]]. Uwiano huu huangaliwa kati ya [[uzazi]], kukua kwa [[kimo]], [[afya]] na [[magonjwa]].
 
Lishe ni sayansi ambayo hufafanua uwiano wa vurutubishi na madini mengine katika vyakula. Uwiano huu huangaliwa kati ya uzazi, kukuwa kwa kimo ,afya na magonjwa .Lishe huhusisha kuliwa kwa chakula, madini na virutubishi kuchukuliwa [[Mwili|mwilini]], ,madini na virutubishi kutumikakutumiwa na [[seli]] za mwili, hali kadhalika kuondolewa kwa [[uchafu]] katika mwili.
Lishe ni chakula ambacho mnyama yeyote hula huambatana na jinsi kinavyopatikana. Katika binadamu lishe huhushisha maandalizi ya chakula,jinsi ya kuhifadhi na jinsi ya kuzuia chakula kupata magonjwa ambayo yanaweza leta maradhi katika binadamu.
 
Lishe ni chakula ambacho [[mnyama ]] yeyote hula huambatana na jinsi kinavyopatikana. Katika [[binadamu]] lishe huhushisha maandalizi ya chakula, jinsi ya kuhifadhi[[Usindikaji|kukihifadhi]] na jinsi ya kuzuia chakula kupata magonjwahali mbovu ambayo yanaweza leta kuleta [[maradhi]] katikakwa binadamu.
== Magonjwa yanayotokana na lishe hafifu ==
Katika binadamu chakula chenye upunguvu wa virutubishi na madini chaweza sababisha maradhi kama vile upungufu wa damu mwili,upofu, kutoka damu kwa ufizi ,kuzaliwa kwa mtoto kabla ya wakati wa kuzaliwa kuwadia na mtoto kuzaliwa kama amekufa.
 
== Magonjwa yanayotokana na lishe hafifu ==
Chakula chenye wingi wa virutubishi na madini chaweza sababisha maradhi kama vile kuongeza uzani kupindukia kimo,ugonjawa wa moyo, shinikizo la damu pamoja na ugonjwa wa kisukari.
Katika binadamu chakula chenye upunguvuupungufu wa virutubishi na madini chaweza sababishakusababisha maradhi kama vile [[upungufu wa damu]] mwilimwilini, [[upofu]], kutoka [[damu]] kwa ufizi[[fizi]], ,kuzaliwa kwa [[mtoto ]] kabla ya wakati wa kuzaliwa kuwadia na mtoto kuzaliwa kama amekufa.
[[Picha:Cucurbita 2011 G1.jpg|thumb|Matunda yanaboresha lishe]]
 
Chakula chenye wingi mkubwa mno wa virutubishi na madini chaweza sababishakusababisha maradhi kama vile kuongeza[[unene uzaniwa kupindukia kimo]],ugonjawa [[ugonjwa wa moyo]], [[shinikizo la juu la damu]] pamoja na ugonjwa wa [[kisukari]].
== Viungo vya Nje ==
[[:en:Nutrition|Nutrition]]
 
==Tazama pia==
[https://www.mairanutrition.com/ Maira nutrition]
* [[Utapiamlo]]
 
== Viungo vya Njenje ==
* [https://www.mairanutrition.com/ Maira nutrition]
{{mbegu-biolojia}}
[[Jamii:Chakula]]
[[Jamii:Afya]]