Mfumo wa upumuaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 41.59.81.11 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 29:
 
===Upumuaji wa wanyama mbalimbali za maji kwa njia ya matamvua===
[[Samaki]] kwa kawaida huwa na matamvua. Matamvua ni kama majani ya ngozi. Maji hupitishwa kati yao na oksijeni ndani ya maji inapokelewa na vyombo vya damu kupitia ngozi ya matamvua ambayo ni nyembamba sana. [[Moluski]] kama vile[[konokono]], [[koa]], [[kombe]], [[pweza]] au [[ngisi]] hutumia mbinu huohuo.
 
[[Kaa]] na [[arithropodi]] wengine wa maji mara nyingi huwa pia na aina za matamvua. Wengine wanaweza kupumua pia hewa ya nje ya maji kwa kutumia mabomba ya pumzi yanayotoka nje ya beanieuso wa maji.
wa maji.
 
===Wanayama wa maji wenye mapafu===