Cannabidiol : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Cannabidiol au (CBD oil) ni kiungo cha kemia kinachopatikana kiasilia katika bangi (Cannabis). Cannabidiol ilivumbuliwa mwakani 1940 na kusemekana kuwa ya maana kama dawa. CBD ni kati ya cannabidiods 113 zilizoko katika mmea wa hemp na huwa asilimia arobainne katika ule mmea. Shirika la Kimarekani la Food and Drug Administration(FDA) limepitisha cannabidiol Epidiolex kwa matumizi katika kutibu ugonjwa wa kifafa kwa watoto.
[[Picha:Cannabidiol (CBD) molecule 3D.JPG|thumb|Cannabidiol]]
 
Cannabidiol yaweza kutumiwa mwilini kwa kuvuta moshi wa cannabis au kama kupulizwa kwa mdomo kwa presha. Yaweza pia kuchukuliwa moja kwa moja kutokana na cbd oil ambayo haina THC. THC ndiyo kiungo ambacho kinalewesha kwa bangi.