Tofauti kati ya marekesbisho "Kituo cha Anga cha Kimataifa"

(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|ISS mnamo mwaka 2010 '''Kituo cha Anga cha Kimataifa''' (ing. '''Internatio...')
 
 
==Shughuli kwenye ISS==
Kusudi kuu ya kituo ni kuwa na [[maabara]] katika anga la nje. Katika mazingira pasipo na [[graviti]] kuna nafasi ya kufanya majaribio mengi katika fani za [[biolojia]], [[fizikia]], [[kemia]], [[tiba]] na [[astronomia]]. Kituo hiki kinabeba vifaa vinavyopima [[mialimwengu|mnururisho wa angamialimwengu]] (ing. ''cosmic rays'') au mabadiliko ya nuru ya Jua.
 
==Viungo vya Nje==