Tofauti kati ya marekesbisho "Kituo cha Anga cha Kimataifa"

no edit summary
[[Picha:International Space Station after undocking of STS-132.jpg|thumb|300px|ISS mnamo mwaka 2010]]
'''Kituo cha Anga cha Kimataifa''' (kwa [[ing.Kiingereza]] '''International Space Station''', '''ISS''') ni [[Satelaiti|satelaiti]] inayozunguka [[Dunia]] katika [[anga la nje]] kwenye kimo[[umbali]] chawa takriban [[kilomita]] 400. ISS ilianzishwa kutokana na mapatano baina ya [[mamlaka]] za [[usafiri wa angani]] za [[NASA]] ([[Marekani]]), [[Roskosmos]] ([[Urusi]]), [[ESA]] ([[Umoja wa Ulaya]]), [[Japani]] na [[Kanada]].
 
==Ujenzi wa kituo==
Kilianza kujengwa kwa kuunganisha sehemu zilizobebwa angani kwa [[roketi]] tangu [[Novemba]] [[1998]]. Sehemu ya kwanza ilikuwa kitengo cha Kirusi chenye [[injini]] na nafasi ya kutunza [[fueli]] ikafuatwa na vitengo viwili kutoka Marekani na Urusi vyenye nafasi ya kukaliwa na [[wanaanga. Timu ya kwanza ya wanaanga (Warusi 2 na Mwamerika 1) ilifika mwaka 2000]]. Sehemu zilizofuata na kuunganishwa na kiini hiki zilibebwa kwa [[feri ya anga]] [[Space Shuttle]] ya Marekani na roketi za Kirusi. Tangu mwisho wa mradi wa Space Shuttle [[safari]] zote zinategemea roketi za Kirusi. Tangu mwaka 2011 ukubwa wake ni mnamo mita 110 x 100 x 30. Kinazunguka Dunia kila baada ya dakika 92. Tangu mwaka 2000 kinakaliwa na timu za [[wanaanga]] 2-3 wanaokaa kwa zamu za miezi kadhaa hadi kubadilishwa na kundi jipya. Mwanaanga mmoja huteuliwa kukaa kwa muda zaidi. Kuna mpango wa kuongeza kitengo cha kirusi cha maabara katika mwaka 2019.
 
Tangu mwaka [[2011]] ukubwa wake ni mnamo [[mita]] 110 x 100 x 30. Kinazunguka Dunia kila baada ya [[dakika]] 92. Kuna mpango wa kuongeza kitengo cha Kirusi cha [[maabara]] katika mwaka [[2019]].
 
Tangu mwaka [[2000]] kinakaliwa na [[timu]] za [[wanaanga]] 2-3 wanaokaa kwa zamu za miezi kadhaa hadi kubadilishwa na kundi jipya. Mwanaanga mmoja huteuliwa kukaa kwa muda zaidi. Timu ya kwanza ya wanaanga (Warusi 2 na Mwamerika 1) ilifika mwaka 2000.
 
==Mipango ya kuondoa kituo kwenye anga==
Kwa sasa imepangwa kutumia kituo hadi mwaka [[2024]]. Imepangwa kuangusha kituo duniani kwa kulenga kwenye maeneo ya [[kusini]] ya [[Bahari ya Pasifiki]]. Kuna uwezekano kutumia [[vyombo vya anga]] vinavyosukuma kituo kuelekea panapotakiwa.
 
==Shughuli kwenye ISS==
Kusudi kuu yala kituo ni kuwa na [[maabara]] katika [[anga la nje]]. Katika [[mazingira]] pasipoyasiyo na [[graviti]] kuna nafasi ya kufanya [[jaribio|majaribio]] mengi katika [[fani]] za [[biolojia]], [[fizikia]], [[kemia]], [[tiba]] na [[astronomia]]. Kituo hiki kinabeba [[vifaa]] vinavyopima [[mialimwengu|mnururisho wa mialimwengu]] (ing. ''cosmic rays'') au mabadiliko ya [[nuru]] ya Jua.
 
==Viungo vya Njenje==
* {{cite book |url=https://www.nasa.gov/sites/default/files/atoms/files/np-2015-05-022-jsc-iss-guide-2015-update-111015-508c.pdf |title=Reference Guide to the International Space Station |edition=Utilization |publisher=NASA |date=September 2015 |id=NP-2015-05-022-JSC}}
* {{cite book |url=https://www.nasa.gov/pdf/508318main_ISS_ref_guide_nov2010.pdf |title=Reference Guide to the International Space Station |edition=Assembly Complete |publisher=NASA |date=November 2010 |isbn=978-0-16-086517-6 |id=NP-2010-09-682-HQ}}
 
{{tech-stub}}
 
[[jamii:Chombo cha angani]]‎