Hoyce Temu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Manguboy alihamisha ukurasa wa HOYCE ANDERSON TEMU hadi Hoyce Anderson Temu: makosa ya kitahajia
No edit summary
Mstari 1:
'''Hoyce Anderson Temu''' amezaliwa tarehe 20 Machi 1978 <ref>http://www.misstanzania.net/history.htm, </ref> ,Katika Wilaya ya '''Ilala''' jijini '''Dar es salaam ''' ,Ni '''mshindi''' wa taji la urembo Tanzania mwaka 1999<ref>http://www.misstanzania.net/history.htm,https://www.imdb.com/name/nm8845457/?ref_=nmbio_emt_1,http://www.thecitizen.co.tz/magazine/thebeat/Hoyce-temu-looks-at-her-reign-as-MIss-Tz/1843792-4148180-dbd21b/index.html</ref> na kuiwakilisha nchi ya Tanzania katika mashindano ya urembo wa dunia nchini Uingereza<ref>http://www.misstanzania.net/history.htm</ref>,anajulikana kama Mrembo wa Millenium wa mwaka 1999<ref>http://www.misstanzania.net/history.htm</ref>na Kuendeleza sanaa ya urembo nchini Tanzania,pia ni mtangazaji wa kipindi cha '''Mimi na Tanzania'''<ref>http://www.mwananchi.co.tz/habari/Makala/Najivunia-miaka-tisa-ya-Mimi-na-Tanzania/1597592-4346684-format-xhtml-m4v6lc/index.html</ref>
{{futa}}
alichokianzisha mwaka 2011 kikiwa na lengo la kuyaibua matatizo ya watu wenye uhitaji ili waweze kupata msaada(fedha ,faraja au fedha na faraja),mpaka tareh 18 machi 2016 kipindi hicho kimeweza kusaidia watu 1,000<ref>http://www.mwananchi.co.tz/habari/Makala/Najivunia-miaka-tisa-ya-Mimi-na-Tanzania/1597592-4346684-format-xhtml-m4v6lc/index.html</ref> na bado kinaendelea kusaidia watu zaidi.
 
==Elimu na Uzoefu ==
'''HOYCE ANDERSON TEMU ''' amezaliwa tarehe (20/Machi/1978) [[Tarehe|http://www.misstanzania.net/history.htm]]
Elimu yake ya sekondari amechukua katika shule ya Arusha na shule ya wasichana ya Zanaki<ref>http://www.thecitizen.co.tz/magazine/thebeat/Hoyce-temu-looks-at-her-reign-as-MIss-Tz/1843792-4148180-dbd21b/index.html</ref>,baada ya kumaliza elimu ya sekondari na kufaulu vizuri alipata udhamini <ref>https://www.dailynews.co.tz/news/hoyce-temu-mrembo-wa-tanzania-aliyefanikiwa-filamu-rwanda-kuepuka-kashfa-katikati-ya-umaarufu.aspx</ref>na kujiunga katika chuo cha Arizona State nchini Marekani elimu ya juu<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/hoyce-temu-mrembo-wa-tanzania-aliyefanikiwa-filamu-rwanda-kuepuka-kashfa-katikati-ya-umaarufu.aspx,http://www.thecitizen.co.tz/magazine/thebeat/Hoyce-temu-looks-at-her-reign-as-MIss-Tz/1843792-4148180-dbd21b/index.html</ref> na kuchukua shahada ya kwanza .Baada ya kumaliza shahada ya kwanza katika chuo cha Arizona State alianza kufanya kazi kama meneja wa mambo ya ushirika<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/hoyce-temu-mrembo-wa-tanzania-aliyefanikiwa-filamu-rwanda-kuepuka-kashfa-katikati-ya-umaarufu.aspx</ref>katika Benki ya Standard Charter na kuendelea kusoma chuo cha Diplomasia .Baada ya kumaliza alijiunga katika chuo kikuu cha Mtakatifu Augistine na kuchukua elimu Mawasiliano ya Umma <ref>https://www.dailynews.co.tz/news/hoyce-temu-mrembo-wa-tanzania-aliyefanikiwa-filamu-rwanda-kuepuka-kashfa-katikati-ya-umaarufu.aspx</ref>.Alipomaliza ,alichukua Shahada ya Udhamivu<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/hoyce-temu-mrembo-wa-tanzania-aliyefanikiwa-filamu-rwanda-kuepuka-kashfa-katikati-ya-umaarufu.aspx</ref> nchini Afrika ya kusini Johanesburg,pia ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano cha Umoja wa Mataifa(UN),amehusishwa na kazi za kuhisaidia jamii na mwaka 2014 siku ya wanawake Duniani taasisi ya MISA ilimtangaza<ref>http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/hoyce-temu-among-top-misa039s-women-to-watch-2014rlm</ref> kama moja ya wanawake mashuhuri ,ni mtangazi wa kipindi cha Runiga cha '''''Mimi na Tanzania'''
==Marejeo==
[[Jamii:Wiki Loves Women Tanzania(2)]]